Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,974
Kwani limeandika uongo? Habari ni kuchagua ya kuandika ilimradi isiwe ya uongo.
Message sentWewe na jeshi gani?
Haya tena gazeti lenu la serikali hilo!!!!!!!!!!!
THE parliamentary candidate for Nkenge constituency in Kagera region on Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mr Focus Rwegasira, has pulled out of the election race.
The Supervisor of elections in Nkenge constituency, Mr Izidore Mtalo, told reporters that Mr Rwegasira had decided to pull out on his own, without giving further details.
Following the decision, two candidates now remain in the race in Nkenge constituency. They include Ms Asumpta Mshama (CCM) and Alhaj Amri Sadick (CUF).
Meanwhile, the Parliamentary candidate in Bukoba Urban constituency on a Civic United Front (CUF) ticket, Mr Christian Kasimbazi, has prioritised education and health as burning issues he would address if he is elected MP.
Mr Kasimbazi made the pledge when addressing a campaign meeting at Nyamkazi area, in Miembeni Ward on Wednesday afternoon. He said CUF was committed to revamping the education sector by improving teaching environment and providing incentives to teachers.
"We have set aside enough funds to construct teachers' houses. CUF would also ensure that teachers in the country are paid good salaries to enable them work in a conducive environment," he said.
Mr Kasimbazi, who is himself a long-serving teacher, said he understands problems facing them and would assist in finding a lasting solution.
CCM OYEE, ulikuwa wapi siku zote? au umekuja kumuongezea kura jk,?Kwani limeandika uongo? Habari ni kuchagua ya kuandika ilimradi isiwe ya uongo.
hapo kwenye bold hapo. nimepasuka kicheko kwa sana.Aliyeleta taarifa hiyo aliiwanukuu wana sisi m.
Maana mgombea wa sisi m jimbo la Bukoba mjini Hamis Kagasheki ndiye alikuwa wa kwanza kuyaelezea katika mkutano wake wa kampeni siku ya jumatatu eneo la miembeni wakati akihutubia kwenye kata ya miembeni.
Kisha ikatolewa katika taarifa ya habari ya redio Kasibante FM ya Bukoba ambayo inamilikiwa na Hamis mwenyewe na anaitumia kama propaganda tool ya sisi m kwa masaa 24. Na ikaenea kwa haraka sana kama moto uliokolezwa petrol huku wakiongezea kashfa nyingi.
Kumbe alipigwa tu chenga ya kisiasa. Na kwa sababu wao huwa hawajui siasa aliingia mkenge vizuuuuuuri tu, kama alivyoingia boss wake Masha, na akaanza kutangaza vitu ambavyo vinampa aibu sasa. Chadema ina wasomi wa siasa na wanajua kuicheza.
Ndivyo alivyochezwa chenga hiyo hiyo Kikwete kuwa Chadema haina mgombea na akiwa Dodoma akatangaza kuwa watashinda kwa kishindo zaidi ya 90%. Baadaye Chadema wakamuweka Dr wa kweli na leo twashuhudia Kikwete akitoa ahadi za uongo huku na kule na kulala chini ardhini akiomba kura. Kama kawaida chenga ya kisiasa imewaumbua.
Ukweli ni kwamba watu wanashangaa inakuwaje mtu mzima kama yeye anatangaza vitu asivyokuwa na hakika navyo. Ni aibu.