RYZEN 5 Custom built PC

RYZEN 5 Custom built PC

Mkuu umepanga kutumia display ya aina gani?

Monitor ninayo hii DELL 24", sina mpango wa kubadilisha.

IMG_20221127_202552.jpg
 
Kazi inakaribia kuisha.

Imebaki part ya Graphics Card tu, ambayo bado sina na sijajua nitachukua ipi nilipanga ndio litakua jambo la mwisho kabisa.

Mpaka ilipofika hapa haiwezi kutumika kwasababu processor iliyopo haina intergrated GPU, hivyo inakulazimu kufunga card yoyte kama mtu atahaitaji kuitumia.

IMG_20221216_173521.jpg
 
View attachment 2449371
Kuna jamaa anasukuma gpu kwa 35k sijui tapeli ama genuine, kama unataka ya kuboot machine

nimeongea nae hapa ni hd 7570 1gb na 5570 1gb
ni kadi za muda kidogo 2012 na 2010

yuko machinga complex.
Zote hazifai kwa gaming mkuu, ila hio 7570 angalau ina uafadhali, itasukuma hizo games za zamani kwa low setting. Pia ipo version ya ddr5 ambayo ni much better,

Kama huna gpu kabisa na una machine ya kizamani sio mbaya kusogezea siku mkuu.
 
budget mpaka kufikia hapo imecost kiasi gan mkuu?
 
Kazi inakaribia kuisha.

Imebaki part ya Graphics Card tu, ambayo bado sina na sijajua nitachukua ipi nilipanga ndio litakua jambo la mwisho kabisa.

Mpaka ilipofika hapa haiwezi kutumika kwasababu processor iliyopo haina intergrated GPU, hivyo inakulazimu kufunga card yoyte kama mtu atahaitaji kuitumia.

View attachment 2449371
Hujaiwasha bado mkuu?
 
Hujaiwasha bado mkuu?
Nilitingwa mkuu,
Ila ilikua imebaki Graphics card tu.
Nimechukua Saphire AMD radeon RX 6700XT 12GB memory
Bado haijafika, ikifika kazi inakua imekwisha.
 
Nilitingwa mkuu,
Ila ilikua imebaki Graphics card tu.
Nimechukua Saphire AMD radeon RX 6700XT 12GB memory
Bado haijafika, ikifika kazi inakua imekwisha.
umechukulia mtandao upi alliepress au? bei ikoje?
 
umechukulia mtandao upi alliepress au? bei ikoje?
Kuna mchina ana supply computer accesories, parts nyingi nimechukua kwake.
Hiyo card ni pre-owned 301$, mpya zinacheza kwenye 440$ mpaka 600$ inategemea na muuzaji.
 
Update 16/04/2023
Card ilifika tangu mwezi March mwanzoni nilibanwa na shughuli zingine leo ndio nimepata nafasi kumalizia kiporo.

IMG_20230416_122453.jpg

IMG_20230416_122440.jpg

IMG_20230416_122750.jpg

IMG_20230416_122838.jpg

IMG_20230416_122845.jpg

IMG_20230416_122848.jpg

IMG_20230416_122651.jpg

IMG_20230416_131810.jpg

IMG_20230416_131821.jpg

IMG_20230416_145848.jpg

IMG_20230416_165602.jpg

IMG_20230416_151820.jpg

IMG_20230416_154402.jpg

Safari imefika Mwisho 😎😎
 
Attachments

  • IMG_20230416_154338.jpg
    IMG_20230416_154338.jpg
    847.3 KB · Views: 32
  • IMG_20230416_145937.jpg
    IMG_20230416_145937.jpg
    880.5 KB · Views: 31
  • IMG_20230416_122335.jpg
    IMG_20230416_122335.jpg
    597.9 KB · Views: 32
Back
Top Bottom