Wajumbe wa JF, hamjambo?
Wajumbe A. B. Tichaz, Kabaridi na wengineo wa Kenya, Mambo?
Mada ya hapo juu yahusika. Ni nini maoni yako juu ya kuungwa mkono kwa muungano wa CORD na baadhi ya watu maarufu kutoka nyumbani kwa kina Uhuru ni dalili njema kwa muungano huo?

This is very signifacant boost kwa Raila, is you ask me. But S.K.Macharia anaweza pia akawa amesukumwa na kesi ya ICC. He would not like like his media empire to be associated na watuhumiwa wa ICC ,wouldn't he? After all, media personnel yumo kwenye ICC 4!
Wajumbe wa JF, hamjambo?
Wajumbe A. B. Tichaz, Kabaridi na wengineo wa Kenya, Mambo?
Mada ya hapo juu yahusika. Ni nini maoni yako juu ya kuungwa mkono kwa muungano wa CORD na baadhi ya watu maarufu kutoka nyumbani kwa kina Uhuru ni dalili njema kwa muungano huo?
Kabaridi,FJM S. K. hana cha kuogopa. Sheria inaoendesha vyombo vya habari haifanani na ile inayoendesha siasa. Hakuna sheria inayomfunga S. K. kumuunga mkono Raila au Uhuru ili kuepuka mtego wa ICC na kama kuna hali kama hii basi inatofautiana na kile sheria ya nchi au katiba mpya inaelezea.
Wakuu wangu, Kabaridi, FJM, na Ab-Titchaz,
Kwa mtazamo wangu ni kuwa Muungano wa CORD unazidi kuimarika zaidi katika sura ya Kitaifa zaidi kuliko muungano mwingine wowote jambo ambalo ni jema kwenye siasa.
Kabaridi anaweza kupinga hili, but in my view CORD inaimarika and I will not be surprised kusikia vigogo - kwa magunia- wanarudi CORD mwezi ujao.
Wakuu wangu, Kabaridi, FJM, na Ab-Titchaz,
Ingawa jukwaa hili ni la mambo yaihusuyo Kenya pekee, bahati nzuri lina wasomaji na wachangiaji wengi kutoka nje ya Kenya.
Siasa za Kenya zinafurahisha sana kwa kuwa ni siasa za kibabe na ni kutumia hesabu za hali ya juu mno. Kwa ninyi ambao ni wenye nchi ni vizuri kuchangia kwa kina huku mkijua kuwa kuna washabiki wa Kenya wasio wa Kenya.
Tuje kwenye mchango wa Kabaridi.
Maina Njenga ni Mungiki aliyeokoka. Wakati ule alikuwa ni mtu mzuri sana kwa kundi ambalo silo aliloliunga mkono sana. Alipaswa kujutia makosa yake wakati ule
Kabaridi anaweza kupinga hili, but in my view CORD inaimarika and I will not be surprised kusikia vigogo - kwa magunia- wanarudi CORD mwezi ujao.
Cord na Raila ni sura ya kitaifa kwa kuwa mkikuyu yeyote asiyeungana na Raila hana sura ya kitaifa, is this what you are trying to tell us?!
Wtz wansaidia kueneza chili dhidi ya wakikuyu wakitaja njonjo. musisahau muda unayoyoma na vizazi vipya viaja
Wakuu wangu, Kabaridi, FJM, na Ab-Titchaz,
Tuje kwenye mchango wa Kabaridi.
Maina Njenga ni Mungiki aliyeokoka. Wakati ule alikuwa ni mtu mzuri sana kwa kundi ambalo silo aliloliunga mkono sana. Alipaswa kujutia makosa yake wakati ule baada ya kujitokeza hadharani.
Mkuu Kabaridi,
Kutaja kabila kwenye hadhara ya wengi ni kuimarisha ukabila. Lakini pia muungano ule sasa na wenyewe sa wa kikabila zaidi kwa kuwa wako akina Gidion Moi ambao hawako nao na wamehikita zaidi kwenye kuimarisha kile chama cha baba na mama.
?
Royals said:Sura ya kitaifa iko hivi, Uhuruto ni muungano wa vyama viwili tu na Railonzo ni muungano wa vyama kumi na vitano, hii si wazi kuwa mwenye macho haambiwi tazama?
nakubaliana CORD inazidi kuimarika kwa kupata defectors. lakini kuokoka kwa maina njenga kulitokana na juhudi za kukaza buti dhidi ya kundi haramu mungiki ya waziri marehemu michuki. ni hali ya pwagu kapata pwaguzi
"Kundi haramu la Mungiki la maremu waziri Michuki".
Kweli hapa ni Pwagu na Pwaguzi. Uzuri kidogo wa wa Kenya ni kuwa hawakubali kirahisi kuchezeshwa wimbo wasioupenda wakacheza. Huishi kwa kuangalia mwekekeo wa upepo unavovuma. Kwenye kelele nyingi ndiko kwenye sherehe.