Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hehe it is conviction bro not that I am being paid by TNA, the same way your conviction leads you to drum for jakom. mumechoshwa lakini ndugu do not legea.
Mkuu Kabaridi.
Kwa maibi ya ndugu yetu FJM ni kuwa tutarajie kuona vigogo wengine toka miungano mingine wajichomoa huko na kujiunga na muungano wa CORD kwa "magunia".
Nini maoni yako wewe juuu ya siku zijazo tutarajie nini kutokea?
Mkuu tutarajie nn? Tungojee uchaguzi ndio utaamua kiongozi ajaye. Nina imani jubilee itachukua urais. CORd watasisitiza fifty plus one katika roundi ya kuanza lakini hii ni ndoto.
nn kuhusu magunia? au magunia ni ya kupokea wanaojistaafisha kisiasa.
Kabaridi, walipwa na TNA?lol.. Mtazamo wa wakenya kwa muungano wa TNA unashawishiwa na vitu vitatu;
kwanza ni sera za ugavi wa mamlaka kati ya TNA na URP ambayo ni ile ya nusu mkate, asilimia 50 kila upande jambo ambalo limewafanya hawa wenzetu wawili kuwa vigogo wakuu. Hebu tujikumbushe mtazamo wa wakenya kwa viongozi wao, weka kabila langu serikalini na pia mimi nipo serikalini. Sivyo? Wao walihubiri sana TNA/URP wakasahau uongozi jumilifu ingawa baadaye waliongeza kina Balala, Ongeri na the likes but mtazamo haujabadilika sana kwa mkenya .
Pili, Kenya imekuwa na viongozi watatu; mkikuyu na mkalenjin. Kwa kadri flani, wakenya wameshachoka. Mbona tusijaribu kigogo mwingine, laiti tu asiwe wa Mlima Kenya? Waelewa? Si eti taswira na sera za CORD ni kuhusu arubaini na moja dhidi ya moja. LA!!! Sisi kama wakenya ndio tumechoka, twataka mabadiliko endelevu kaka. uongozi wa nchi hauezi chezea eneo moja au mbili kila uchao. By chance it happens that the incumbent president is from central province and of which to me is alil counterproductive for one Uhuru Muigai.
La mwisho ni kwa waathiriwa wa uchaguzi, donda lipo bado, na kama halipo, nafsi yakataa. Wosia wangu ni huu; ni vema hawa wawili wakajinadhifishe kwa kina kule wanakohitajika kabla ya kukwea madarakani. Na kama hawawezi, natumai wakenya watakubali kuishi na mshikomshiko wa kiuchumi kama vile Sudan na nchi zinginezo zilizotengwa.
Ni hayo tu kwa sasa na si ukabila, sina ukoo na Raila, Uhuru ama Ruto. Naitamania tu nchi ya Kenya yenye mabadiliko mema na uongozi mwafaka. Si purukushani za kimataifa kila wakati kujaribu kutakasa ovu lililotendeka. CORD yaimarika, asilimia 51 ya wakenya wanadhania hivyo kulingana na kura za maoni.
Huyu Macharia ni tajiri ambaye anatengwa na matajiri wa Kikuyu ,ukiangalia hata anakuwa na kesi nyingi za kulalamika kudhurumiwa katika mambo ya biashara zake na nyuma ya hayo masaibu ni matajiri wenzake wa kikuyu ndio wanataka aanguke kibiashara,na ni hao matajiri wa Kikuyu ndo humcheka na kumkebehi huyo Macharia,ndio maana anaenda tofauti na hao MT Kenya Mafia kwa kumuunga mkono RAO,yupo hata kwenye baraza la wazee wa CORD,hata pale uwanja wa Uhuru walitaja jina lake,pia alijitolea kwa kutoa magari na kushirikiana na tume ya uchaguzi kuhamasisha Wakenya wapige kura kwa wingi.mimi naona huyu bwana ni Mkenya zaidi kuliko hao matajiri wengineHawa ni wanabiashara mashuhuri na wanajua hali halisi ilivyo Kenya kwa sasa na hii ishu ya ICC. They are simply
aligning themselves with the right side of history and going above tribal arithmetic and such like stuff.
If Kenya were to face sanctions huyu jamaa stands to lose a lot in terms of his business empire. He experienced
it when Moi was president na anajua japo Uhuru atapewa urais basi mambo hayatakua poa.
Huyu Macharia ni tajiri ambaye anatengwa na matajiri wa Kikuyu ,ukiangalia hata anakuwa na kesi nyingi za kulalamika kudhurumiwa katika mambo ya biashara zake na nyuma ya hayo masaibu ni matajiri wenzake wa kikuyu ndio wanataka aanguke kibiashara,na ni hao matajiri wa Kikuyu ndo humcheka na kumkebehi huyo Macharia,ndio maana anaenda tofauti na hao MT Kenya Mafia kwa kumuunga mkono RAO,yupo hata kwenye baraza la wazee wa CORD,hata pale uwanja wa Uhuru walitaja jina lake,pia alijitolea kwa kutoa magari na kushirikiana na tume ya uchaguzi kuhamasisha Wakenya wapige kura kwa wingi.mimi naona huyu bwana ni Mkenya zaidi kuliko hao matajiri wengine