S. K. Macharia na Mungiki kumuunga mkono Railonzo ni dalili njema kwao?

hehe it is conviction bro not that I am being paid by TNA, the same way your conviction leads you to drum for jakom. mumechoshwa lakini ndugu do not legea.

Mkuu Kabaridi.
Kwa maibi ya ndugu yetu FJM ni kuwa tutarajie kuona vigogo wengine toka miungano mingine wajichomoa huko na kujiunga na muungano wa CORD kwa "magunia".

Nini maoni yako wewe juuu ya siku zijazo tutarajie nini kutokea?
 
Mkuu Kabaridi.
Kwa maibi ya ndugu yetu FJM ni kuwa tutarajie kuona vigogo wengine toka miungano mingine wajichomoa huko na kujiunga na muungano wa CORD kwa "magunia".

Nini maoni yako wewe juuu ya siku zijazo tutarajie nini kutokea?

Mkuu tutarajie nn? Tungojee uchaguzi ndio utaamua kiongozi ajaye. Nina imani jubilee itachukua urais. CORd watasisitiza fifty plus one katika roundi ya kuanza lakini hii ni ndoto.

nn kuhusu magunia? au magunia ni ya kupokea wanaojistaafisha kisiasa.
 
Mkuu tutarajie nn? Tungojee uchaguzi ndio utaamua kiongozi ajaye. Nina imani jubilee itachukua urais. CORd watasisitiza fifty plus one katika roundi ya kuanza lakini hii ni ndoto.

nn kuhusu magunia? au magunia ni ya kupokea wanaojistaafisha kisiasa.

Bahati nzuri Jubilee nao wamepata mhamiaji leo aliyejiunga na URP.
 
Rafiki yangu Kabaridi una maoni gani kuhusu opinion poll ya infotrac, ambayo nimeiona kupitia citizen tv kwamba CORD-51% na Jubilee-39%.
Hiyo si dalili njema sana kwa muungano wa Railonzo? nimeshuhudia mkutano wao leo live kupitia citizen tv ni dhahiri Railonzo wanakubalika sana.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru mkuu mwenzangu Mwita Maranya kutafuta maoni yangu. mwenyewe sina pingamizi na opinion polls za infotrack kumpigia upato na kummpa headstart Raila kwa 50+1, lakini tukitizama opinion polls tangia wakati wa steadman, yote yamekuwa yakimpigia upato Raila kwa asilimia kubwa licha ya kuwa tumeshuhudia kusajilishwa kwa vyama vingi na kuongezeka kwa viongozi kwenye anga za siasa ya kenya. Naweza kumalizia kwa kusema utafiti wa infotrack unaendeshwa tu viungani mwa miji maarufu/urban centres kama NBI na kwingineko ambapo wenyeji waana priviledge ya kuwa na vifaa kama luninga na tarakilishi/mtandao. ina maana utafiti wao haizingatii kupata maoni ya walio mashinani licha ya kuwa wenyeji wamejisajili kama wapiga kura.
 
Last edited by a moderator:

Samahani, mkuu livefire sioni la kujibu hapa. I accept your declaration bro 100%. ikiwa maendeleo endelevu itkuja kupitia CORD na kinara wake so be it.
 
Last edited by a moderator:
Huyu Macharia ni tajiri ambaye anatengwa na matajiri wa Kikuyu ,ukiangalia hata anakuwa na kesi nyingi za kulalamika kudhurumiwa katika mambo ya biashara zake na nyuma ya hayo masaibu ni matajiri wenzake wa kikuyu ndio wanataka aanguke kibiashara,na ni hao matajiri wa Kikuyu ndo humcheka na kumkebehi huyo Macharia,ndio maana anaenda tofauti na hao MT Kenya Mafia kwa kumuunga mkono RAO,yupo hata kwenye baraza la wazee wa CORD,hata pale uwanja wa Uhuru walitaja jina lake,pia alijitolea kwa kutoa magari na kushirikiana na tume ya uchaguzi kuhamasisha Wakenya wapige kura kwa wingi.mimi naona huyu bwana ni Mkenya zaidi kuliko hao matajiri wengine
 

Unafikiri itasaidia kupata kuungwa mkono na watu wa Uhuru na Ruto?
 
Nimevutiwa na jinsi wakenya mnavyo jadilisiasa za nchi yenu kwa lugha adhimu ya kiswahili fasaha. Kumbe mkiamua mnaweza. Mimi ninafuatilia kwa karibu kwani ni mshika dau kwenye uchaguzi wenu kwani nina ndugu na marafiki zangu huko Kenya na nisingependa wapitie kwenye uzoefu mwingine unaofanana na ule wa mwaka 2007.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…