S.t aggreys high chool

S.t aggreys high chool

Mdeke_Pileme

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,596
Reaction score
2,226
Natanguliza salamu kwanza wakuu!
kwa wanao jua chuo cha st aggrey hapo mbeya naomba mnisaidie kama kimesajiliwa NACTE.
 
Ni chuo kwa mambo ya laboratory techncian&clinical nursing
 
Kimesajiliwa na nacte kwa kozi ya maa
bara na clinical med
 
Natanguliza salamu kwanza wakuu!
kwa wanao jua chuo cha st aggrey hapo mbeya naomba mnisaidie kama kimesajiliwa NACTE.

kimesajiliwa mkuu

nenda kapige kitabu
 
Natanguliza salamu kwanza wakuu!
kwa wanao jua chuo cha st aggrey hapo mbeya naomba mnisaidie kama kimesajiliwa NACTE.

kimesajiliwa mkuu na mitihani ni ya wizara
 
Back
Top Bottom