SA troops arrive in Mozambique to fight insurgents

Are you really a Tanzanian? I have never seen a Tanzanian belch this type of sophisticated English before.
[emoji23]I still can't discern whether that's a compliment to me or an insult to my country...either way it doesn't matter because it's untrue, I tested my English (IELTS) and it's at a very basic level
 
source plz

Source ni huu uzi, muhimu muwe mnasoma taarifa za kwenye uzi kabla comments....Kagame ni kiboko

“As the insurgents retreated towards the Tanzanian border, a total of 30 insurgents were reportedly killed by the Rwandan units. Late afternoon the RDF was still patrolling the forest areas around Afungi,” the military analyst said.
 
Are you really a Tanzanian? I have never seen a Tanzanian belch this type of sophisticated English before.
Pay attention:Expect nyangau, nyie, beberu words being thrown allover ze place.
 
[emoji23]I still can't discern whether that's a compliment to me or an insult to my country...either way it doesn't matter because it's untrue, I tested my English (IELTS) and it's at a very basic level
Its a major milestone,Ze ndanganyi-azz are celebrating.
You made maullana CEO geza ulale very happy.
 
[emoji23]I still can't discern whether that's a compliment to me or an insult to my country...either way it doesn't matter because it's untrue, I tested my English (IELTS) and it's at a very basic level
It may be at a basic level according to international standards but you are easily the best English speaker in your country.
 
It may be at a basic level according to international standards but you are easily the best English speaker in your country.

Wapo mmoja mmoja japo utakuta aidha waliishi sana nje ya nchi.
 
Taarifa zinasema wanajeshi wa Rwanda wameua magaidi 30 waliokua wanakimbilia kuingia Tanzania, aisei Rwanda balaa sio waoga waoga kama mlivyo.
Wanaweza kusema lolote...wanaweza hata kuua raia wakasema magaid ili wapate wanachokitaka...
 
Hawa brothers wetu was hapo juu kunyalanda naona bado hawajaelewa huu mchezo. Sasa iko hivi. ....

Kwanza wananchi wa msumbiji waliua watanzania wengi tu hivi majuzi kutokana na chuki zao.
Halafu hao magaidi pia ni kama watanzania tu maana dini, lugha na mila zao ni kama za kwetu kwa hiyo tusipokuwa makini wanaweza kutuvuruga vibaya sana.
Rwanda kwenda pale ni anatufanyia feva. Maana katika huu mgogo wao wako katika hatari ya chini sana. Hawa wanamgambo kuwashambulia sio rahisi kabisa.

Mpango mzima hapa ni kwamba SADC wapige hao wahuni huko, pakukimbilia kwao ni Tz tu, hawana pengine.

Sisi tunakomaa hapo mpakani tunahakikisha hata nzi hakatishi. Ndani ya miezi 3. Hawa wahuni watakuwa historia.

Kwaarifa yenu kumejipanga vizuri mno. Kiasi hadi kila nyumba hapo mpakani kunajua mpaka idadi yao ya mbu. Akiongezeka mmoja tu tunajua Halafu tu afyekela mbali.

Waulize m23 kule Congo au wale wahuni wa kibiti. Kama bado wapo hai watakwambia [emoji41]
 
Tanzania ipeleke jeshi la nini Mozambique wakati wakivuka mto ruvuma wapo Mozambique . Kwani wakivuka kuwasambaratisha waasi mpaka Watoe taarifa Kwenye tv ? kazi ilianza siku nyingi hao wa Rwanda na Sa wamefika baada ya kusafishiwa njia na vikosi maalumu sasa jiulize ni vikosi gani .
 
Wapo mmoja mmoja japo utakuta aidha waliishi sana nje ya nchi.
Acheni undezi nyie Mbona mnanyenyekea hyo lugha Sanaa.....kwahyo kujua kuongea kiingereza mpk aishi nje ya nchi??? Huku TZ kuna watu wanajua hyo lugha bila hata ya kuwa wanaishi nje ya nchi...kuna private owned English medium schools nyingi Tu watu wanasoma na international schools pia....wakunya bwana[emoji1787]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kujua kingereza kuna raha yake bana asikuambie mtu, kwanza huko Ttz kingereza ni mtaji kabisa maana wengi wenu hata wakuu huwa kimewakataa, hivyo wachache wanaomudu kutema yai bila kuyumba yumba hupata fursa sana.....binafsi nilishuhudia hili kipindi nilikua naishi Tz.
 
Hata mkuu wa majeshi ya Rwanda alikuja Kwanza Tanzania wajiulize kwanini
 
Labda uliishi zamani au hizo kazi zinapatikana kimichongo tu maana watu na viingereza vyao wanasugua benchi mitaani Kwa tatizo la ajira

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Daaa,Rwandan troops near our border makes me uncomfortable,it's like having US troops fighting insurgents in Crimea,border with Russia,or US troops operating in Taiwan,I don't think Russians,or Chines would have tolarated this kind of development,
Where are our TPDF soldiers?!,
This mozimbique is our backyard,we should have been the first patrrolling these areas,what can prevent these Rwandese troops from conducting covert operations in our land,Mtwara,Mtambaswala?
Mama Samia please,this is embarrassing,stop creating demons and terrorists out of ur political livals,Chadema,real terrorists are operating few KM from. Mtwara
 
Huwezi ukapeleka majeshi yako Msumbiji wakati hao ISIS wana mpango wa kuanzisha himaya Mtwara na washajaribu kufanya uhalifu pia nchini! Approach iliyochukuliwa kulinda mipaka yetu upande wa pili ni bora zaidi! Wacha SADC members wawafurumushe kutokea Msumbiji halafu wakijiloga wavuke mpaka wanakutana na TPDF! It's pure strategy hamna cha ajabu! La sivyo tutakuwa kama Kenya ambao wako Somalia lakini kila siku Kenya kunalipuliwa!
 
It's ok if they handle the issue while they are outside the border as long as our tz militants wapo makini mipakani

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
La sivyo tutakuwa kama Kenya ambao wako Somalia lakini kila siku Kenya kunalipuliwa!
jana walilipuwa wapi?? tpdf ni vilaza tu wakawaida, na tanzagiza haiwezi ku support oparesheni yoyote ya kijeshi nje ya nchi. subiri matokeo, hivi karibuni tz mtakua mnaomba usaidizi kupambana na hao magaidi nchini kwenyu.
 
Labda uliishi zamani au hizo kazi zinapatikana kimichongo tu maana watu na viingereza vyao wanasugua benchi mitaani Kwa tatizo la ajira

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app

Kwa nchi kama Tanzania ambapo kingereza ni changamoto hata kwa viongozi, utakua una gubu kama unasugua benchi kwa kukosa ajira. Hiyo nchi yenu bado hamna muamko kwenye mambo mengi tu, hivyo akitokea mchakarikaji na mjanja wa lugha anapiga mwingi, na ndio maana Wakenya huzuiwa kabisa kupewa vibali hata kama wanakidhi vigezo vyote, maana kiukweli mkiachia Wakenya waingie watakavyo wataishia kuwakoloni.

Ona hapa hii picha fursa zilivyo kwa Watanzania waliosomea Kenya

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…