SA troops arrive in Mozambique to fight insurgents

Wapo mmoja mmoja japo utakuta aidha waliishi sana nje ya nchi.
English is a very common language Tanzanians we use english in secondary say we do not use it in the streets and offices very much .that is the reason for having bad english
 
Karibu nchi zote za SADC zimepeleka wanajeshi sasa baada ya kuaibishwa na Rwanda na baada ya SA kutangulia.. lakini Kuna nchi moja kubwa bado sijaona ikisaidia majirani wao. Historia ya Leo/Sasa ndo itakua vitabuni miaka 60-100 kutoka Sasa enzi za maji maji rebellion na Kagera war zitakua ni footnotes kwa vitabu, hazitakua main topic tena kama vile vita vya kina ottoman empire na kina Romans viliekwa kando kwa syllabus na mambo ya WW1 na World War II ndo yakapewa kipaumbele kwa vitabu vya historia
 
Apparently they did try to deploy their troops. Reports indicate that they lost over a dozen special ops troops a while back when the insurgency started.
 
Apparently they did try to deploy their troops. Reports indicate that they lost over a dozen special ops troops a while back when the insurgency started.
No wonder they are not interested with this war
 
Hii Vita inaihusu Tanzania moja Kwa moja nashangaa kwanini watu wanaulizia kama Tanzania haijapeleka jeshi au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…