johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ukitoka huko na wewe nenda mahakamani.Ni kauli ya jirani yangu tukiwa ndani ya Bajaj mimi nikiwa nawahi Masifu ya Asubuhi yaani Morning Glory pale Kanisani Azania Front
Nilishangaa sana πΌ
Nimekuelewa sanaUkitoka huko na wewe nenda mahakamani.
Unaenda kusifu nini kama huwezi kusimama pamoja na wapigania haki?
Ni sawa na yule sadukayo alieacha kumsaidia mtu aliepata ajali barabarani ili awahi kwenda kusali.
Alfajili πΌUnashangaa nini?
Hapo ni Kawe kwa Mtume Mwamposa π
Sana kabisa mkuu.Nimekuelewa sana
Umenikumbusha ile Habari ya msamalia mwema π