Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,310
- 5,482
Hii hali kwa sasa imekuwa ni zaidi ya kero, masaa 12 hakuna umeme.
Mmeshawahi waza ni shughuli ngapi zinasimama kwa kutokuwepo kwa umeme?
Na je mkawaza ni kiasi gani cha mapato kinapotea kwa wakati huo ambao umeme haupo?
Kuweni serious hata kama ni marekebisho si kwa muda wa masaa 12.
Mama ulitaka waripotiwe, anza na Lushoto.