Saa 48 ngumu kwa wachezaji Simba!

Wala mimi sishangai wewe ukishangaa.
 
Sidhani kama kuna usajili mungine utafanywa na simba labda yule dogo wa prison tu
 

Mtu kama Baleka
Nafasi 10 anashinda goli 1

Ndio mna plan kuingia na huyo kwa michuào
 
Afanye afanyavyo sisi tunataka matokeo chanya.
 

Duh [emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]
 
Kocha amesema hadharani bila washambuliaji bora na wenye nguvu hakuna kitachofanyika. Huwezi kwenda kupambana na Baleke, Saido na Onana! Tuingie hasara ya kuvunja mikataba hakuna namna au tuwe wapole msimu wa tatu huu viongozi wameshindwa kabisa kubadilika kwenye usajili.
 
Kwa Simba hii hata Messi au Ronaldo wakiletwa wataishia kutepweta. Waswahili wanasema tatizo la Simba ni kupigana misumari tu. Kuanzia viongozi, wachezaji, benchi la ufundi mpaka mashabiki wa Simba wote wanaamini kwenye fitna, ushirikina, figisu, hila na ulaghai kama silaha nzito za Simba.
 
Kennedy ana kosa gani,au Ile kuchomesha juzi?!
 
Nyie si ndio mlisema Mayele alimkimbia Jean Baleke au sio nyie. Sasa muuzeni Ufaransa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…