Saa 6 mchana kinachoendelea mahakama kuu ya Dar es Salaam muda huu

Saa 6 mchana kinachoendelea mahakama kuu ya Dar es Salaam muda huu

Baada ya uwanja kuinama sasa anawahitaji mawakili?
Alikuwa nao tangu kesi ikiwa committal.

Hata kesi inavyoendelea mahakama kuu huwa anaiomba mahakama ku consult mawakili wake.

Kwanini huwa hamfuatilii vitu vidogo vidogo kama hivi kujiepusha na fedheha?

Lissu anao mawakili wa utafiti from a very beginning.
 
Hizo ni njama tuu! DCI lazima ahojiwe na atikiswe kweli kweli. DCI ndie amechora kesi hiyo, lazima abanwe kwa alichokichora ateme bung'o.

Usitegemee DCI kuwa na wakati mwepesi dhidi ya Tundu Lissu.

Tundu Lissu will definitely put into practice what he has learned and known for many years, executing it precisely to the best of his knowledge.
 
Muda huu saa sita mchana, Jengo zima la Mahakama umeme umezimwa, kuna giza nene kama tupo kuzimu halafu njee kuna mvua inaendelea kunyesha.

Msajili wa Mahakama hii, Lyakinana anawaogopa sana Magereza na hawa Mapolisi wa Kingai utadhani wao ndo wanamlipa mshahara, kwasababu Mapolisi ndio wanaamua nani akutane na Mwenyekiti Lissu na nani asikutane nae na yeye ndo aliyepewa order na Kingai kwamba azuie Mawakili wetu wasionane na Mhe. Lissu.

Sasa hivi wanapanga kupunguza viti ndani ya ukumbi Mahakamani ambao huwa tunautumia siku zote lengo likiwa ni kupunguza idadi ya watu watakao ingia ndani ili wasingizie kwamba ukumbi umejaa, kumbe wameondoa viti.

Mazingira hayo yanaonekana toka asubuhi muda ambao Mawakili walitakiwa kuingia kumuandaa shahidi wakishirikiana na Mh. Tundu Lissu.

Tunasubiri hiyo saa nane mchana tujue nini kimeendelea.

Taarifa kutoka vyanzo vyetu hapa Mahakamani vinasema Mwenyekiti Lissu amekutana kwa muda dakika 10 na Ramadhani Kingai na inaonekana kuna jambo halijaenda vizuri japo tunahisi huenda Mhe. Lissu atakuwa amemwambia hatuwezi kuendelea bila uwepo wa Mawakili wake, ambao wangesaidia kumchukua maelezo ya maandishi ya shahidi wake kabla hajaenda kutoa huo ushahidi Mahakamani.

Ukweli wa yote tutaujua baada ya masaa mawili kutoka sasa so tuwe na subira.
Keep us updated please
 
Back
Top Bottom