BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Alikuwa nao tangu kesi ikiwa committal.Baada ya uwanja kuinama sasa anawahitaji mawakili?
Hivi kama kitu hukielewi Kwa nini kujidhalilisha? Lissu hana Wakili kiuwakilisha lakini ana washauri wa Sheria zaidi ya 5 na Mahakama inawatambua. Majaji wenyewe wanaoendesha kesi Wana washauri wa kisheria àmbao wanawasaidia kufanya utafiti.Baada ya uwanja kuinama sasa anawahitaji mawakili?
Kama hujui kitu ni bora ukae kimya, maana unaanika ukilaza wako. Hao mawakili wako toka mwanzo, na wataendelea kuwepo hadi mwisho wa kesi. Kujitetea mwenyewe kunazuia vipi wakili kutokuwepo?Baada ya uwanja kuinama sasa anawahitaji mawakili?
Kila kitu unacomenti wala hujui unachokizungumza.Baada ya uwanja kuinama sasa anawahitaji mawakili?
Hata hao wanaokulipa elfu 20 kwa wiki kwa ajili ya kuwatetea humu jukwaani wana roho nzuri sana maana kumlipa mtu asiye na ufahamu wowote wa anachokitetea ni ukarimu wa hali ya juu sana.Baada ya uwanja kuinama sasa anawahitaji mawakili?
Waambie serekali warushe hiyo kesi mubashara ili usisome propaganda. Hata huko ccm kuna vilaza wengi, watake hao wakuletee updates utakavyo.Badala ya kuleta mwenendo wa kesi, umeanza kuandika propagada
Anao, lakini kawapumzisha anajitetea mwenyewe.Si ilisemekana mshtakiwa hana mawakili?
Umesahau alichowahi kusema Rostam kuhusu hizi Mahakama?..Mahakama ilinde heshima yake
Ungeficha ujinga wako kidogoBaada ya uwanja kuinama sasa anawahitaji mawakili?
Sina tabia ya kinyongaUngeficha ujinga wako kidogo
Keep us updated pleaseMuda huu saa sita mchana, Jengo zima la Mahakama umeme umezimwa, kuna giza nene kama tupo kuzimu halafu njee kuna mvua inaendelea kunyesha.
Msajili wa Mahakama hii, Lyakinana anawaogopa sana Magereza na hawa Mapolisi wa Kingai utadhani wao ndo wanamlipa mshahara, kwasababu Mapolisi ndio wanaamua nani akutane na Mwenyekiti Lissu na nani asikutane nae na yeye ndo aliyepewa order na Kingai kwamba azuie Mawakili wetu wasionane na Mhe. Lissu.
Sasa hivi wanapanga kupunguza viti ndani ya ukumbi Mahakamani ambao huwa tunautumia siku zote lengo likiwa ni kupunguza idadi ya watu watakao ingia ndani ili wasingizie kwamba ukumbi umejaa, kumbe wameondoa viti.
Mazingira hayo yanaonekana toka asubuhi muda ambao Mawakili walitakiwa kuingia kumuandaa shahidi wakishirikiana na Mh. Tundu Lissu.
Tunasubiri hiyo saa nane mchana tujue nini kimeendelea.
Taarifa kutoka vyanzo vyetu hapa Mahakamani vinasema Mwenyekiti Lissu amekutana kwa muda dakika 10 na Ramadhani Kingai na inaonekana kuna jambo halijaenda vizuri japo tunahisi huenda Mhe. Lissu atakuwa amemwambia hatuwezi kuendelea bila uwepo wa Mawakili wake, ambao wangesaidia kumchukua maelezo ya maandishi ya shahidi wake kabla hajaenda kutoa huo ushahidi Mahakamani.
Ukweli wa yote tutaujua baada ya masaa mawili kutoka sasa so tuwe na subira.
Aisee cccm imeharibu akili za vijana wengi mnoSi ilisemekana mshtakiwa hana mawakili?
Kwamba anajitetea mwenyeweSi ilisemekana mshtakiwa hana mawakili?