sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
baadhi yetu tulikuwa na matumaini makubwa juu ya video hii kuleta tikisiko na tetemeko huko youtube ila naona masaa 6 yamepita sasa videi haipi hata kumi bora huko youtube.
upande wa simba yule anaembiwa atulize mzuka ili na wengine wapate ahueni mbugani naona simba amekataa ushauri, video tatu zinaoongoza trending zote ni kazi zake, wengine watatalii vipi mbugani kwa hali hii?,😂