Saa 6 zimepita video ya salute ya Kiba haijatimba top 10 ya YouTube trending, je haina vibe?

Ngoja kesho ukute ipo #1 trending ndio utajua kwa nini wanamuita king kiba🤣
 
baadhi yetu tulikuwa na matumaini makubwa juu ya video hii kuleta tikisiko na tetemeko huko youtube ila naona masaa 6 yamepita sasa videi haipi hata kumi bora huko youtube.

upande wa simba yule anaembiwa atulize mzuka ili na wengine wapate ahueni mbugani naona simba amekataa ushauri, video tatu zinaoongoza trending zote ni kazi zake, wengine watatalii vipi mbugani kwa hali hii?,😂
Bila Mange na Soud Brown Ali Kiba is nothing katika music trend
 
?
Screenshot_20210701-000618.jpg
 
kuna jamaa kaimba hivi uko
[emoji445][emoji445]
they call me Number 1
So Much money in the bank money

hivi hapo ame maanisha nini maana wengine hii lugha ime tupita kushoto
Ana hela nyingi ndani ya benki hela 😂😂😂😂...ah nmejaribu namimi ngoja wajuzi zaidi waje
Na kwanzia hapoo breki ya kwanza twaaap kwenye leo nakutooooo tooo tooo
 
Nafikiri U tube wamecontrol fake views...
Au tusubiri usiku wa manane..utashangaa kesho asubuhi ina 2.5M views.. Sasa sijui huwa wanavyuu popo..!??
Dunia Ni kubwa bro Kama ulipo Ni usiku Kuna nchi zingine ndo wanaamka
 
Ana hela nyingi ndani ya benki hela 😂😂😂😂...ah nmejaribu namimi ngoja wajuzi zaidi waje
Na kwanzia hapoo breki ya kwanza twaaap kwenye leo nakutooooo tooo tooo
Mpuuzi sana huyu jamaa..
 
baadhi yetu tulikuwa na matumaini makubwa juu ya video hii kuleta tikisiko na tetemeko huko youtube ila naona masaa 6 yamepita sasa videi haipi hata kumi bora huko youtube.

upande wa simba yule anaembiwa atulize mzuka ili na wengine wapate ahueni mbugani naona simba amekataa ushauri, video tatu zinaoongoza trending zote ni kazi zake, wengine watatalii vipi mbugani kwa hali hii?,😂

Who cares?
 
baadhi yetu tulikuwa na matumaini makubwa juu ya video hii kuleta tikisiko na tetemeko huko youtube ila naona masaa 6 yamepita sasa videi haipi hata kumi bora huko youtube.

upande wa simba yule anaembiwa atulize mzuka ili na wengine wapate ahueni mbugani naona simba amekataa ushauri, video tatu zinaoongoza trending zote ni kazi zake, wengine watatalii vipi mbugani kwa hali hii?,[emoji23]
Muonee huruma, mbona unakuwa mkatili kwa mfalme ambaye huko You Tube unapopaongelea hata subscribers milioni moja hajafikisha licha ya mbeleko zote alizobebwa nazo?
Lakini inawezekana ni kwa sababu hapendi showoff lakini tayari yuko namba moja ila ameficha is ionekane.
 
Back
Top Bottom