Saa 6 zimepita video ya salute ya Kiba haijatimba top 10 ya YouTube trending, je haina vibe?

Ngoja kesho ukute ipo #1 trending ndio utajua kwa nini wanamuita king kiba🀣
 
Bila Mange na Soud Brown Ali Kiba is nothing katika music trend
 
kuna jamaa kaimba hivi uko
[emoji445][emoji445]
they call me Number 1
So Much money in the bank money

hivi hapo ame maanisha nini maana wengine hii lugha ime tupita kushoto
Ana hela nyingi ndani ya benki hela πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...ah nmejaribu namimi ngoja wajuzi zaidi waje
Na kwanzia hapoo breki ya kwanza twaaap kwenye leo nakutooooo tooo tooo
 
Nafikiri U tube wamecontrol fake views...
Au tusubiri usiku wa manane..utashangaa kesho asubuhi ina 2.5M views.. Sasa sijui huwa wanavyuu popo..!??
Dunia Ni kubwa bro Kama ulipo Ni usiku Kuna nchi zingine ndo wanaamka
 
Ana hela nyingi ndani ya benki hela πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...ah nmejaribu namimi ngoja wajuzi zaidi waje
Na kwanzia hapoo breki ya kwanza twaaap kwenye leo nakutooooo tooo tooo
Mpuuzi sana huyu jamaa..
 

Who cares?
 
Muonee huruma, mbona unakuwa mkatili kwa mfalme ambaye huko You Tube unapopaongelea hata subscribers milioni moja hajafikisha licha ya mbeleko zote alizobebwa nazo?
Lakini inawezekana ni kwa sababu hapendi showoff lakini tayari yuko namba moja ila ameficha is ionekane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…