Van claude
Member
- Jan 9, 2015
- 53
- 12
Shukrani mkuu, be blessed for your comment.Seiko wanakuja wadau, goodluck in advance
Mkuu nisamehe ilifika ya upande mmojaKwaiyo saa tuta angalizia iyo mikanda au.hemu weka picha za kueleweka bhana
Mkuu bei kubwa mnoMkuu nisamehe ilifika ya upande mmoja View attachment 1635437
Bei ndogo ni ipi mkuu?Mkuu bei kubwa mno
Seiko zipo juu lakin kulingana hali ya maisha punguza bei mkuuBei ndogo ni ipi mkuu?
Mkuu unaweza kuitoa hiyo mikanda tukaongea biashara?!Saa aina ya seiko inauzwa Tsh 250,000 /=
Sifa za saa
1: Haipauki.
2: Hairuhusu kuingia kwa maji.
3: Inadumu muda mrefu.
4: Automatic mechanism, kwa maana ya kwamba haitumii betri.
5: Inaonyesha Saa, Tarehe na mwezi.
Kwa mawasiliano ya simu 0628778657 nyote mnakaribishwa
View attachment 1635257
View attachment 1635428
View attachment 1635436
Mikanda inaweza toka mkuuMkuu unaweza kuitoa hiyo mikanda tukaongea biashara?!
Itoe hiyo mikanda uje tuongee bei mkuuMikanda inaweza toka mkuu
Mkuu nauza kama ilivyo, mambo ya kutoa mikanda ni baada ya kulipiaItoe hiyo mikanda uje tuongee bei mkuu
Nipunguze mpaka wapi mkuu?Seiko zipo juu lakin kulingana hali ya maisha punguza bei mkuu
Me nnazo nyingi lakin bei ikipungua naweza chukua na hiyo yakoNipunguze mpaka wapi mkuu?
Sawa nitakupunguzia elf tanoMe nnazo nyingi lakin bei ikipungua naweza chukua na hiyo yako