INAUZWA Saa aina ya seiko inauzwa Tsh 250,000 /=

INAUZWA Saa aina ya seiko inauzwa Tsh 250,000 /=

Kuna jamaa angu dereva wa STL zake zote hua zimepaukapauka tu ila brand za kikoloni na zinapiga mzigo balaa hahaha
 
Duuuh kuna mengi sana bado siyajui kumbe kuna saa huwa hazitumii kabisa betri. Sasa mfumo upi unaziwezesha kufanya kazi?
Saa automatic ukiivaa - Ile kuchezacheza/ kurukaruka kwa mkono hukaza spring ambayo huendesha mfumo wake. Usipoivaa kwa muda mrefu inasimama.
 
Back
Top Bottom