Hauko serious mkuu [emoji23] [emoji23][emoji23]Sawa nitakupunguzia elf tano
Hahaha nipo serious mkuu... Si unaona nilimpa chance ya kusema nipunguze mpaka wapi lakini hakusema chiefHauko serious mkuu [emoji23] [emoji23][emoji23]
Nice dialMkuu nisamehe ilifika ya upande mmoja View attachment 1635437
Nina lakiMkuu nisamehe ilifika ya upande mmoja View attachment 1635437
Saa automatic ukiivaa - Ile kuchezacheza/ kurukaruka kwa mkono hukaza spring ambayo huendesha mfumo wake. Usipoivaa kwa muda mrefu inasimama.Duuuh kuna mengi sana bado siyajui kumbe kuna saa huwa hazitumii kabisa betri. Sasa mfumo upi unaziwezesha kufanya kazi?