Saa moja na dakika 17

Saa moja na dakika 17

Kwaza pole sana lkn naimani hujawahi kula mlo huu hapa

ugali wa mtama mwekundu na maharage halafu shushia na mapera
mkuu amini maneno yangu shart uchanike damu itoke na lazima uchokonoe na mti

Mzigo unatoka dry na umeanza kupasuka pasuka ................. unauchungulia umetokezea tu na hautoki

NB;Waheshimni sana wakulya
 
Miaka 10 ilinikuta hiyo hali...we bwana asikwambie mtu
Kwanza mzigo mkavu nilitaka nikimbie maana zilitoka style kama vya mbuzi na vikitua mlio wa kwengele kwengele kwenye sink mbya zaidi mzigo haupigi U Turn urudi to square one na haukatiki 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom