Hebu wacha kujitesa mtoto utapasuka kichwa bure, uwanja umejaa.Weka picha ya drone
Drone sina huo uwezo mzee ingia kwa TV utaona mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Weka picha ya drone
... watu wamesusa sijui maana kwa mkapa kweupeeee tofauti na tamasha la wapinzani
Kweli simba [emoji881] ni nomaMamaaqe hadi wazungu ndani,,, hatuna shughuli ndogo
View attachment 1944787
Sio wazungu tu hata yanga wamo ***** zao wamekubali muzikiMamaaqe hadi wazungu ndani,,, hatuna shughuli ndogo
View attachment 1944787