Theb
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 3,927
- 7,276
View attachment 1944654View attachment 1944655
Umeona hali.halisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeona hali.halisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe fuatilia mechi ya Naijeria, Yanga wanaongoza 2-1 dakika ya 36Lete ushahidi wa tiketi kuuzwa zote hapa
Watanyolewa bila wembe hawa waseng......wa Mombasa
Acha uongo uwanja umejaa nyomi ya kutosha wanazuia sahizi watu kuingia.Yaani pamoja na jitihada zote za uwekezaji lakini mbaka saaizi mashabiki bado wana suasua kuingia uwanjani, bora wangetumia shamba la bibi wangeweza Ku ujaza.
Acha ufala wewe jua liko wapi hapo?Kwa muda kama huu siku ya wananchi ilikuwa hiviView attachment 1944633
Hahahh kuna watu wanafiki sana Tz bhanaKuna tukio la aibu linaenda kutokea leo, hadi dakika hii watu wamesusa sijui maana kwa mkapa kweupeeee tofauti na tamasha la wapinzani lililopita yani ilikiwa hadi dakika hii hakuna pa kuhema.
Aya ngoja tuone muda ndo mwamuzi watakavozalilika watu na bonanza laoView attachment 1944626
Wenzako Nigeria wanatetemeka wewe unapotezea na mambo yasiyokuhusu.Kama hakuna ushahidi basi tulizeni kipira
Sawa dada shida yako?Kuna tukio la aibu linaenda kutokea leo, hadi dakika hii watu wamesusa sijui maana kwa mkapa kweupeeee tofauti na tamasha la wapinzani lililopita yani ilikiwa hadi dakika hii hakuna pa kuhema.
Aya ngoja tuone muda ndo mwamuzi watakavozalilika watu na bonanza laoView attachment 1944626
Anao mama yako. KamuulizeLete ushahidi wa tiketi kuuzwa zote hapa
... hadi dakika hii watu wamesusa sijui maana kwa mkapa kweupeeee
Mashabiki wengi wa simba ni maskini wa pesa na akili hela wanatoa wapi?Kuna tukio la aibu linaenda kutokea leo, hadi dakika hii watu wamesusa sijui maana kwa mkapa kweupeeee tofauti na tamasha la wapinzani lililopita yani ilikiwa hadi dakika hii hakuna pa kuhema.
Aya ngoja tuone muda ndo mwamuzi watakavozalilika watu na bonanza laoView attachment 1944626
Wamechukua jukwaa la upande mmoja.
Kaa kwa kutulia mzee babaWamechukua jukwaa la upande mmoja.
Hamna watu sijui ticket mnadanganya mmeuza zote.
Weka picha ya droneKaa kwa kutulia mzee baba View attachment 1944699