Chikenpox
JF-Expert Member
- Oct 15, 2022
- 784
- 1,246
Jamani Nani ambaye haoni how strong, stable minded and good visionary Rais Samia anavyoonesha?
Kwa sasa nchi Ina mikakati, sera nzuri za kuwavutia wawekezaji, sera ambazo haziwakimbizi wawekezaji Bali kuwavutia. Utalii ndonusiseme.
Vijana waliosoma tourism wanapata ajira daily Mana mahoteli yamejaa pamoja na parks mbali mbali. Kipindi Cha mwendazake vijana walilia kilio Cha kusaga meno na wakawa wandhihakiwa kwamba wawe mamachinga tu.
Walimu ajira ziko bwele serikalini na private. Kipindi Cha jpm shule nyingi zilifunga biasha mf perfect vision pale ubungo. Sasa shule nyingi zinafufuka kwa kasi na ajira zinatangazwa dily.
Madakatari nao usipime hata Leo muhimbili wametoa ajira Kama zote kwa sector ya afya. Agha Khan nayo inatoa daily.
Nashauri Samia awe rais wa maisha