Saa tumepata Rais baada ya miaka mitano iliyopita kutokuwa na Rais

Saa tumepata Rais baada ya miaka mitano iliyopita kutokuwa na Rais

Good visionary ya kuhamasisha ufisadi kwenye Taifa🐒🐒🐒🐒
 
Kwa hiyo sasa hivi tunatoka shimoni?
Shimo lilikuwa refu bro!
Wawekezaji wengi walikimbia, ajira ziliyoyoma, maduka mengi yalifungwa. kariakoo yenyewe mbayo ina wateja toka Congo DRC, Zambia, Malawi , Burundi na Zimbabwe ilianza kufa, sasa inafufuka.
Asante Mama Samia sasa mwanga umeanza kuonekana.
 
Unaunda kikosi kazi cha mchongo kisha kinakuambia kuwa katiba mpya ni lazima🐒🐒🐒
 
hahahaha. leo ndiyo mnaona zile zilikuwa sheria kandamizi? Tundu lisu alikuwa na kesi zaidi ya 6 za kipuuzi kabisa pale kisutu,yerico, mello na wengine wengi. wakati ule mliona sawa tu. mlituita tunatumiwa na mabeberu (upuuzi)
leo yanawatafuna wenyewe mnaanza kulialia tulieni kama mlivyotulia nchi ilipokuwa chini ya LILE CHIZI
 
Jamani Nani ambaye haoni how strong, stable minded and good visionary Rais Samia anavyoonesha?

Kwa sasa nchi Ina mikakati, sera nzuri za kuwavutia wawekezaji, sera ambazo haziwakimbizi wawekezaji Bali kuwavutia. Utalii ndonusiseme.

Vijana waliosoma tourism wanapata ajira daily Mana mahoteli yamejaa pamoja na parks mbali mbali. Kipindi Cha mwendazake vijana walilia kilio Cha kusaga meno na wakawa wandhihakiwa kwamba wawe mamachinga tu.

Walimu ajira ziko bwele serikalini na private. Kipindi Cha jpm shule nyingi zilifunga biasha mf perfect vision pale ubungo. Sasa shule nyingi zinafufuka kwa kasi na ajira zinatangazwa dily.

Madakatari nao usipime hata Leo muhimbili wametoa ajira Kama zote kwa sector ya afya. Agha Khan nayo inatoa daily.

Nashauri Samia awe rais wa maisha
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Back
Top Bottom