Saa tumepata Rais baada ya miaka mitano iliyopita kutokuwa na Rais

Good visionary ya kuhamasisha ufisadi kwenye TaifaπŸ’πŸ’πŸ’πŸ’
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa hiyo sasa hivi tunatoka shimoni?
Shimo lilikuwa refu bro!
Wawekezaji wengi walikimbia, ajira ziliyoyoma, maduka mengi yalifungwa. kariakoo yenyewe mbayo ina wateja toka Congo DRC, Zambia, Malawi , Burundi na Zimbabwe ilianza kufa, sasa inafufuka.
Asante Mama Samia sasa mwanga umeanza kuonekana.
 
Unaunda kikosi kazi cha mchongo kisha kinakuambia kuwa katiba mpya ni lazimaπŸ’πŸ’πŸ’
Your browser is not able to display this video.
 
hahahaha. leo ndiyo mnaona zile zilikuwa sheria kandamizi? Tundu lisu alikuwa na kesi zaidi ya 6 za kipuuzi kabisa pale kisutu,yerico, mello na wengine wengi. wakati ule mliona sawa tu. mlituita tunatumiwa na mabeberu (upuuzi)
leo yanawatafuna wenyewe mnaanza kulialia tulieni kama mlivyotulia nchi ilipokuwa chini ya LILE CHIZI
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…