Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kama kuna siku niliokaribia kupata mshutuko wa makalio ni jana niliposiki mh dpp ameamuru kesi ya idd isimba a wenzake kufutwa ..binafsi nimewiwwa kupenda hiki cheo na natamani siku moja kama si kuwa dpp basi nikaimu kwa kweli...ni cheo ambacho....yaani mungu anaweza kwa kweli dah...haya wazee wetu kazi imekwisha shuguli imeisha na mzee ashaamua wazo tu mumkumbe basi hata kwenye ka mpesa ama katigo pesa jamani ili mungu nae awabariki