Saashisha, Mbunge wa Jimbo la Hai, shule zako za msingi madarasa na nyumba za walimu yanaanguka kwa kuchakaa

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Jimbo la Hai, ni Kati ya Jimbo lenye shule Za msingi zenye madarasa na nyumba Za walimu zilizochakaa Tanzania.

Jimbo la hai limekushinda au Hujui hili Tatizo lipo?
 
Kama shule ya sere ilivokuwa inaitwa Board yani imechakaa beyond.....
 
Jimbo la Hai, ni Kati ya Jimbo lenye shule Za msingi zenye madarasa na nyumba Za walimu zilizochakaa Tanzania.

Jimbo la hai limekushinda au Hujui hili Tatizo lipo?
Shule ya msingi narumu, lyamungo, manushi, nronga, Roo, marire, kware, Nkwansira, shule zote hizi ziko kwenye Hali mbaya sana na zingine nyingi
 
Ni hiv tuu

FB_IMG_1674455784273.jpg
 
Jimbo la Hai, ni Kati ya Jimbo lenye shule Za msingi zenye madarasa na nyumba Za walimu zilizochakaa Tanzania.

Jimbo la hai limekushinda au Hujui hili Tatizo lipo?
Mbona unamuanika Mbowe hadharani!

Mbowe amekuwa mbunge wa jimbo la Hai kwa kipindi kirefu sana.....

Halafu unameukia huyu Saasisha Mafuwe ambae ana miaka miwili pekee Bungeni?
 
Basi hapo alaumiwe Mbowe kwa kushindwa kujenga hizo shule kwa miaka ambayo alikuwa mbunge zaidi ya 10
 
Kuna shule imekarabatiwa na mwanachama wa ccm ila mbunge wa ccm Jimbo la Hai, amekataa kutambua mchango wake kwenye ujenzi huo.

Ila mwanachama Huyu ni ndiye chaguo la ccm 2025 na mwaka 2020 alitia nia kugombea .
Mbunge wa sasa ajiandae kwenda kuchunga mbuzi kwao.
 
K*mamayo kumbe uko kwenye kutumika ma mtu!

Wewe hufai.....

Mpe na mkeo ili amkarabati!
 
Shule ya msingi narumu, lyamungo, manushi, nronga, Roo, marire, kware, Nkwansira, shule zote hizi ziko kwenye Hali mbaya sana na zingine nyingi
Ni Tatizo mkuu mbunge yupo anashinda kwenye macamera. anafhani tuko enzi ya mwendazake mzee wa macamera
 
Jimbo la Hai, ni Kati ya Jimbo lenye shule Za msingi zenye madarasa na nyumba Za walimu zilizochakaa Tanzania.

Jimbo la hai limekushinda au Hujui hili Tatizo lipo?
Kwa taarifa yenu, Kwa kuwa Shule hizi ziko Uchagani si Rahisi kujengwa na Bajeti ya Serikali. La Muhimu ni kuhamasishana Kila kata Wachangie Shule zao wazijenge. Kuna Watu wanafurahia Anguko la Uchagani. Wenye pesa mkajenge Shule za kwenu.
 
Basi hapo alaumiwe Mbowe kwa kushindwa kujenga hizo shule kwa miaka ambayo alikuwa mbunge zaidi ya 10

Ajenge (japo mada inahusu ukarabati) kwa pesa zake za mfukoni?? Watanzania wasahaulifu sana - walipokuwa wanasema “hata kama ni wapinzani, sera inayotekelezwa ni ya CCM” - hamkuwaelewa???

Shule hizi ni za serikali, pesa za kukarabatia ni za serikali - mbona asiulizwe serikali au wale waliosema “nichagulieni mtu ambaye tutafanya kazi nae”???
 
Basi mafue asiulaumiwe au kuulizwa kuhusu shule na aulizwe mkurugenzi
 
Back
Top Bottom