peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Shule ya msingi narumu, lyamungo, manushi, nronga, Roo, marire, kware, Nkwansira, shule zote hizi ziko kwenye Hali mbaya sana na zingine nyingiJimbo la Hai, ni Kati ya Jimbo lenye shule Za msingi zenye madarasa na nyumba Za walimu zilizochakaa Tanzania.
Jimbo la hai limekushinda au Hujui hili Tatizo lipo?
Alijenga shule Za sekondari Za Kata shule 17 na hospitali ya wilaya ya HaiMbowe alifanya kazi gani?
Mbona unamuanika Mbowe hadharani!Jimbo la Hai, ni Kati ya Jimbo lenye shule Za msingi zenye madarasa na nyumba Za walimu zilizochakaa Tanzania.
Jimbo la hai limekushinda au Hujui hili Tatizo lipo?
Kuna shule imekarabatiwa na mwanachama wa ccm ila mbunge wa ccm Jimbo la Hai, amekataa kutambua mchango wake kwenye ujenzi huo.Basi hapo alaumiwe Mbowe kwa kushindwa kujenga hizo shule kwa miaka ambayo alikuwa mbunge zaidi ya 10
K*mamayo kumbe uko kwenye kutumika ma mtu!Kuna shule imekarabatiwa na mwanachama wa ccm ila mbunge wa ccm Jimbo la Hai, amekataa kutambua mchango wake kwenye ujenzi huo.
Ila mwanachama Huyu ni ndiye chaguo la ccm 2025 na mwaka 2020 alitia nia kugombea .
Mbunge wa sasa ajiandae kwenda kuchunga mbuzi kwao.
Ni Tatizo mkuu mbunge yupo anashinda kwenye macamera. anafhani tuko enzi ya mwendazake mzee wa macameraShule ya msingi narumu, lyamungo, manushi, nronga, Roo, marire, kware, Nkwansira, shule zote hizi ziko kwenye Hali mbaya sana na zingine nyingi
Kwa taarifa yenu, Kwa kuwa Shule hizi ziko Uchagani si Rahisi kujengwa na Bajeti ya Serikali. La Muhimu ni kuhamasishana Kila kata Wachangie Shule zao wazijenge. Kuna Watu wanafurahia Anguko la Uchagani. Wenye pesa mkajenge Shule za kwenu.Jimbo la Hai, ni Kati ya Jimbo lenye shule Za msingi zenye madarasa na nyumba Za walimu zilizochakaa Tanzania.
Jimbo la hai limekushinda au Hujui hili Tatizo lipo?
Basi hapo alaumiwe Mbowe kwa kushindwa kujenga hizo shule kwa miaka ambayo alikuwa mbunge zaidi ya 10
Basi mafue asiulaumiwe au kuulizwa kuhusu shule na aulizwe mkurugenziAjenge (japo mada inahusu ukarabati) kwa pesa zake za mfukoni?? Watanzania wasahaulifu sana - walipokuwa wanasema “hata kama ni wapinzani, sera inayotekelezwa ni ya CCM” - hamkuwaelewa???
Shule hizi ni za serikali, pesa za kukarabatia ni za serikali - mbona asiulizwe serikali au wale waliosema “nichagulieni mtu ambaye tutafanya kazi nae”???