Saba Saba 2026: Lobby Group Notifies Police Ahead of Planned Nairobi Protests Tomorrow

Saba Saba 2026: Lobby Group Notifies Police Ahead of Planned Nairobi Protests Tomorrow

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Lobby group Grassroots Economic Justice Movement imetuma official notice kwa Inspector General of Police, Nairobi Regional Police Commander na OCS Central Police Station kuhusu planned Saba Saba protests zitakazofanyika Tuesday, July 7, 2026.

Kulingana na notice hiyo, kati ya 1,000 hadi 3,000 protesters wanatarajiwa kushiriki maandamano yatakayoanzia Jeevanjee Gardens kuelekea Parliament Buildings, ambapo watawasilisha petition wakitaka Parliament ichukue hatua dhidi ya extrajudicial killings, enforced disappearances, na matumizi ya nguvu kupita kiasi na baadhi ya maafisa wa usalama.

Waandalizi wamesema maandamano hayo yatakuwa peaceful, na volunteer marshals watasaidia kuhakikisha order inadumishwa throughout the procession.

Wakati huo huo, Makadara MP George Aladwa amesema wanachama wa ODM hawatashiriki maandamano hayo. Amesisitiza kuwa serikali inapaswa kuhakikisha kuna usalama wa kutosha ili wananchi waendelee na shughuli zao za kila siku, hasa wale wanaotegemea casual jobs kwa kipato cha kila siku.

Saba Saba Day huadhimisha mapambano ya mwaka 1990 yaliyosukuma Kenya kuelekea mfumo wa multi-party democracy, na kila mwaka hutumika kama siku ya wananchi kuonyesha sauti zao kuhusu masuala ya utawala, haki na uwajibikaji.
Source: citizendigital
 
Back
Top Bottom