Sababu 10 kwanini Msuva Atachagua Yanga SC na Sio Simba SC

Nakubaliana na wewe nimeliona hilo kwa Chama na Luis konde boy, waweza kuwa sahihi.

Niongeze volume?,🔥🔥
 

Simba kwa Sasa haina matumaini. Hakuna mchazaji wa maana ataenda Simba.
 
Simba kwa Sasa haina matumaini. Hakuna mchazaji wa maana ataenda Simba.
Kweli hakuna mchazaji atakaye kuja Simba bali Simba inasajili wachezaji. Mazao ya chuo cha kuzalisha wajinga hapo Yanga tunayaona hapa jukwaani Wahadhiri wenu. wanajituma sana.
 
Hiyo no 5 ni chai mkuu, labda ni yanga nyingine ambayo sisi hatuijui maana yanga yenyewe ilipigwa na kuondoshwa kwa aibu na mito united ya Nigeria, Sasa sijui atajitangazaje kimataifa kwa timu ambayo haifiki popote
Mito utd sio timu ya kubeza ndio bingwa wa nigeria yule
 
Utopolo hawaishiwi vituko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
Nasikia wamemsajili waziri wa elimu wa zamani.....joyce

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app

Tena atakutana na makamu wake ZAWADI mauya pale wizarani.
 
Yanga bwana hyo project namba 4 ulivyoelezea kama unaelezea man city vile kumbe ni team iliyopigwa hatrick na SOPU na vibeki vyenu vifupi vile vikiongozwa na captain Maguire kutoka tanga

Mpira unachezwa kwa malengo.

Coast Union walikuja kutafuta HAT TRICK.

Yanga SC walikuja kutafuta KOMBE la ASFC.

Umeiona tofauti ya timu kubwa na timu za kawaida zisizo na uwezo wa kushinda taji?

[emoji23][emoji23]
 
Absolutely true, otherwise is magician people ndo watakuja kukupinga
 
Kwahiyo timu za uarabuni ndo kipimo cha ubora wa mchezaji??

Yaani wewe huwezi kutumia akili yako uone kama mchezaji ni mzuri au lah hadi timu za uarabuni zimtake??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…