weka zakoHoja zako hazina mashiko.
kwa Ayo matusi kama umetoka kuinamishwa utaelewa kifungu gani?Hii ni takataka kama takataka zingine tu,maelezo marefu bila kutaja kifungu hata kimoja cha katiba kilichovunjwa ni upoyoyo wa hali ya juu ,kifupi wewe ni utoko tu,tena wa kovi la mpagani
Labda wavuta bange wa uvccmUzuri wa JF unaandika post ukiwa peke yako,huu upuuzi wako itokee tu siku hata kipindi cha kampeni uuseme,nakuhakikishie utaishia kupopolewa mawe na wananchi,mbwembwe zingine weka pembeni Magufuli anakubalika kwa Watanzania na hatakuwa na upinzani katika uchaguzi mkuu October 2020,98% ya kura zote atachukua na 99% ya wabunge wote wa Bunge la JMT watatoka CCM.
Huo uliongewa ni ukweli mtupuHuna akili lofa wewe
Wasiojulikana walikuwepo tangu enzi tunarushiwa bomu la mkono na makamanda wanne kufa pale Arusha chini ya uongozi wa ambaye leo tunammiss kama "mwanademokrasia" Mh JKKwani Ndg yaliyo andikwa ni uongo??
Wewe ni mfaidika wa mfumo huu mbovu wa wasiojulikana???