Uchaguzi 2020 Sababu 10 kwanini tumpumzishe Rais John Magufuli

Uchaguzi 2020 Sababu 10 kwanini tumpumzishe Rais John Magufuli

Hii ni takataka kama takataka zingine tu,maelezo marefu bila kutaja kifungu hata kimoja cha katiba kilichovunjwa ni upoyoyo wa hali ya juu ,kifupi wewe ni utoko tu,tena wa kovi la mpagani
kwa Ayo matusi kama umetoka kuinamishwa utaelewa kifungu gani?
 
Uzuri wa JF unaandika post ukiwa peke yako,huu upuuzi wako itokee tu siku hata kipindi cha kampeni uuseme,nakuhakikishie utaishia kupopolewa mawe na wananchi,mbwembwe zingine weka pembeni Magufuli anakubalika kwa Watanzania na hatakuwa na upinzani katika uchaguzi mkuu October 2020,98% ya kura zote atachukua na 99% ya wabunge wote wa Bunge la JMT watatoka CCM.
Labda wavuta bange wa uvccm
 
Kwani Ndg yaliyo andikwa ni uongo??
Wewe ni mfaidika wa mfumo huu mbovu wa wasiojulikana???
Wasiojulikana walikuwepo tangu enzi tunarushiwa bomu la mkono na makamanda wanne kufa pale Arusha chini ya uongozi wa ambaye leo tunammiss kama "mwanademokrasia" Mh JK
WanaCHADEMA orijino tulijipanga kuuondoa huo mfumo 2015 lakini Mwenyekiti na Lissu wakatuuza kwa CCM na tukabaki kukunja ngumi na kuzungusha kama mazuzu.
Kwa sasa ni Heri JPM ametekeleza mengi tuliyokuwa tukiyapigania kama CHADEMA na sioni mpinzani yeyote anayeweza kuinyoosha nchi hii kama JPM. Huo ndio ukweli!
 
Umeandika vizuri ila sababu ni moja tu na yeye mwenyewe alisema hadharani ni KICHAA
 
Back
Top Bottom