Sababu 10 za Kuamini Mungu Yupo

barikiwa sana!! ingawa kuna bin-adam watakupinga,,,ila inakuja siku amabyo watajuta sana!!!,,,wajiulize mbona binadamu binadamu tunaendelea kiteknolojia lakini mbona mbuzi wako vilevile??{hawabadiliki],,mbona binadamu tunaongea kwa lugha tofauti lakini sauti za wanyama mathalan mbuzi ni mlio mmoja dunia nzima?????......mbona ng'ombe anakula huku anakunya lakini binadamu anajistiri na anatenganisha muda wa kula na kunya?????mbona wanyama wanasex mpaka na wazazi wao lakini binadamu hilo ni marufuku????? kwenye uwanja wa vita binadamu anatumia kila aina ya mbinu na silaha,lakini kondoo siku zote anatumia kichwa tu!!!!!!
 
Unawajibu vipi atheists wanaouliza aliyemuanzisha muanzilishi mwenyewe ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…