MAASKOFU KUSHAURI WANANCHI WAPIGE KURA YA HAPANA WAPO SAHIHI KABISA
Jumuia ya Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) walitoa taarifa kwa wakristu wote na wananchi kwa ujumla wajiandikishe kwa wingi ili wapige kura ya hapana kwa Katiba Inayopendekezwa..maneno mengi yamesemwa kuhusu kauli hiyo,wapo wanaounga mkono na wapo wanaopinga.
Ukweli upoje katika hili?
Ukweli ni kwamba maaskofu wapo sahihi kabisaa kutokana na sababu 10 zifuatazo;
1. Katika suala hili la katiba mpya halina maridhiano ya kitaifa katika mchakato mzima.
2. Mchakato ulivyoanza dini zote za kikiristo na kiislam Zilishilikishwa lakini mchakato ulipofikia kwenye bunge maalum,ushauri wa viongozi wa dini ulianzakupuudhwa, hasa waliposhauri mchakato usimame hadi maridhiano yapatitakane na kundi lililotoka nje la UKAWA, ili kutengeneza muafaka wa kitaifa.
3. Mambo mhimu yaliyokuwepo ktk rasmu ya katiba yamepuuzwa.
4. Mda wa kupewa elimu kwa wananchi ni mdogo sana hautoshi kwa wanaichi kuielewa katiba inayopendekezwa,katiba pendekezwa zinazosambazwa kwa makadilio ni kama nakala 40 ya katiba pendekezwa kwa kila kijiji kimoja. HAZITOSHELEZI
5. Kuna dalili za kuingizwa mahakama ya kadhi, ambayo hayana maslahi ya kitaifa zaidi ya kutafta kuungwa mkono na wananchi wa upande wa zanzibar.
6. Hakuna mwafaka wa maridhiano wa kundi moja la upinzani (UKAWA) ambalo tayali lishatangaza kususia kushiriki katika mchakato wa kupiga kura ya katiba pendekezwa.
7. Haiwezekani kwa nchi maskini kama tanzania ifanye mambo makubwa ya kitaifa ndani ya mwaka mmoja, (a).uchaguzi wa serikali za mitaa (b).kujiandikisha na kupiga kura ya katiba pendekezwa (c) uchaguzi mkuu ina maana hakuna mambo mengine ya kufanya? Kuna haraka gani kuyafanya haya?
8. Hata kama tutapiga kura mwaka huu, katiba hatianza kutumika mwaka huu kutokana na mchakato.
9. Kutokana na sintofahamu, kwanini serikali inaharakisha mchakato na kwanini isifanye marekebisho madogo ya katiba ya mwa 1977,kama lengo ni uchaguzi mkuu?
Viongozi wa dini wana nafasi kubwa sana katika kubariki au kukataa mchakato kutokana mamlaka na kibali mbele za Mungu Hata nabii Mussa ambaye alikuwa kiongozi wa wana wa Israel, alipewa mamlaka ya kukataa au kuruhusu jambo, utaona pale alipowaongoza wana wa Israel wavuke bahari ya shamu na wakatii