Kama kichwa cha habari kinavyosema hizi ni sababu zangu 100 zitakazonifanya nimchague Rais Samia katika uchaguzi mkuu wa 2025, zingatia kuwa hizi ni sababu zangu binafsi na siyo sababu zako.
1. Ana uzoefu katika uongozi ndani ya chama na serikalini I.e uzoefu wa zaidi ya miaka 30.
2. Ana mfiduo wa kutosha,kutokana na kufanya kazi na mashirika ya kimataifa.
3. Ana busara za kutosha,kutokana na umri pamoja na uzoefu wa kazi.
4. Mpole na mkarimu, hana majigambo.
5. Ni mlezi wa watu wote na si mwepesi wa hasira.
6. Ana hofu ya Mungu.
7. Msikivu.
8. Mzalendo.
9. Mchapakazi
10. Ana uwezo wa kuhamasisha wengine
11. Ana uwezo wa kufikiri kimikakati
12. Uwezo wake wa kupambana na changamoto
13. Anatumia lugha yenye staha katika kuzungumza na kutoa maelekezo
14. Mtatuzi wa migogoro
15. Ana upendo
16. Ana uwezo wa kufanya kazi kama timu
17. Ana fikra zenye maono
18. Ukomavu katika siasa za Tanzania na Duniani.
19. Mpenda amani na mshikamano
20. Muumini wa Muungano
21. Kapandisha mishahara
22. Ajira kwa vijana
23. Ongezeko la wawekezaji wa nje
24. Ongezeko la wawekezaji wa ndani
25. Mazingira rafiki kwa wafanyabiashara
26. Mikopo kwa wakinamama
27. Mikopo kwa vijana
28. Mikopo kwa watu wenye ulemavu
29. Mikopo kwa wasanii
30. Ongezeko la boom kwa wanavyuo
31. Mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati
32. Ongezeko la watalii
33. Ongezeko la ulipaji wa kodi bila shuruti
34. Ruzuku ya mbolea kwa wakulima.
35. Mwanamichezo halisi
36. Bima ya afya kwa wote
37. Kasi zaidi mradi wa rea
38. Mazingira bora ya upatikanaji wa haki
39. Maboresho makubwa katika miundombinu ya mahakama
40. Ameongeza elimu bure hadi kidato cha sita
41. Wanafunzi walipata ujauzito wamerudi shuleni.
42. Ameongeza maslahi ya watumishi,posho na pesa ya kujikimu
43. Mapambano dhidi ya madawa ya kulevya
44. Amelipa malimbikizo kwa watumishi
45. Ushirikiano wa kimataifa umeongezeka
46. Kaimarisha miundombinu ya afya
47. Kaongeza wigo wa upatikanaji wa dawa
48. Kaongeza vituo vya afya vijijini
49. Maendeleo katika afya ya mama na mtoto
50. Ongezeko la wataalamu wa afya
51. Maboresho wa utoaji wa huduma za dharura katika sekta ya afya
52. Mkazo katika kupambana na afya ya akili
53. Maendeleo ya miundombinu, barabara,reli n.k
54. Maboresho ya masoko ya ndani
55. Kapunguza vikwazo vya ufanyaji biashara
56. Ongezeko la masoko ya nje
57. Ufanisi bandarini
58. Nguvu zaidi katika kilimo cha umwagiliaji
59. Bajeti zaidi katika sekta ya kilimo
60. Kahamasisha vijana kufanya kilimo kupitia BBT
61. Ameimarisha vyama vya ushirika
62. Mikopo kwa wavuvi
63. Zana bora za uvuvi kwa wavuvi
64. Wigo mpana wa masoko ya mazao ndani na nje ya nchi
65. Maboresho miundombinu ya utalii
66. Maendeleo katika utalii wa afya
67. Maendeleo katika utalii wa michezo na burudani
68. Usalama zaidi wa watalii
69. Katangaza utalii
70. Sera bora za uhifadhi wa mazingira
71. Maendeleo katika utalii wa utamaduni
72. Ongezeko la usawa wa kijinsia
73. Mikopo kwa wachimbaji wadogo
74. Kaongeza hamasa kwa wachimbaji wanawake
75. Ongezeko la mapato sekta ya madini
76. Mapambano thabiti ya ujangili wa madini
77. Katangaza madini ya Tanzania
78. Mipaka ya nchi ipo salama
79. Maboresho ya miundombinu ya shule
80. Veta kila wilaya
81. Ujenzi wa shule za wasichana
82. Kaongeza bajeti katika sekta ya elimu
83. Mapambano katika wizi wa mitihani.
84. Maboresho ya shule zenye wanafunzi wenye mahitaji maalumu.
85. Mifumo ya serikali imeanza kusomana
86. Mtetezi wa lugha ya kiswahili ndani na nje ya mipaka ya Tanzania
87. Ongezeko la wigo la upatikanaji wa maji
88. Kaifungua nchi kiuchumi
89. Mwanademokrasia wa kweli
90. Kipenzi cha watoto
91. Kipenzi cha vijana
92 . Kipenzi cha wanawake
93. Ni nembo na alama ya watanzania
94. Mpambanaji halisi
95. Ana uthubutu
96. Msema kweli
97. Akili iliyotulia isiyo na papara
98. Mapenzi kwa nchi yake
99. Ni mwanachama wa chama cha mapinduzi,chama la ushindi
100. Ametumisha salama na kutufuta machozi watanzania baada ya kuondokewa na mpendwa wetu Rais wa awamu ya tano hayati John Pombe Magufuli.
N.B HIZI NI SABABU MIA TU LAKINI ZIPO SABABU ZAIDI YA MILIONI.