Pre GE2025 Sababu 100 za kumchagua Rais Samia katika Uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pamoja ya yote,nasubiri neno juu ya utekaji utesi ,kupotea,neno juu ya uchaguzi kabla ya mapitio kwenye mengine mengi haya,nisiwe mchoyo wa fadhila hongera kwake na kwa wote wenyenia ya kweli kumfanikisha katika yote yaliyotajwa.
Tuwe na subra nadhani mambo yote yatawekwa bayana kuhusiana na mambo haya machache yanayoharibu taswira ya Rais wetu
 
Hapo umesema kweli...."niaçhie Rais wangu"!
Hàya mchague maana ni wako.
Machawa hovyo kabisa.
Kama wewe siyo Rais wako sawa ila mimi Rais wangu ninayemtambua kwa sasa ni huyo niite chawa vyovyote sawa ndiyo mana nimesema hizi ni sababu zangu mkuu
 
Watanzania tupo pamoja na Rais wetu labda wewe pekeyako na hadi kufika October 2025 utakuwa umeshaungana nasi kwenye timu ya maendeleo
Kwani huwa mnalipwa kiasi gani kuandika upumbavu huu ?
 
[emoji57][emoji57][emoji57] kwa nini umeziandika kinyuma? Geuza ndio yatakua sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…