Sababu 12 kwanini usimsamehe mwanamke msaliti…

Kwa mfano anakusaliti na haujui na ukauliza uliposikia kakukatalia na ukakosa uthibitisho kama kakusaliti by nature kakusaliti vipi nae afukuzwe huku huna uthibitisho??
Ukiona una wasiwasi huyo ni msaliti fukuza
 
Vipi kama ameacha na,siyo kuachika????
Mwanamke akisaliti hawezi kuacha. Atasaliti tu
Kuishi na mwanamke ambaye amekusaliti ni mtihani, huwezi kuishi kwa amani maana muda wote ukifikiria alivyokunjwa unapata hasira.
Unaweza kuwa mpo kwenye jambo la furaha ila hali ikabadilika unapokumbuka usaliti wa mkeo. Ndiyo maana huwa tunaacha mwanamke
 
Ukitulia utanipa sababu 3 tu za kwa nini mwanamke akusamehe mwanaume Mzinzi, Unayelala na kila Malaya!
1. Mwanaume tumeumbwa kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ndiyo maana unaweza kuoa hadi wanawake 50
2. Mtoaji na kichwa cha familia. Mahitaji yote kula, matibabu mpk malazi yapo chini ya mwanaume.
3. Mtoto au watoto ni wa mwanaume. Mwanaume akichepuka akapata mtoto atalazimika kulea mtoto kwa kutoa mahitaji ya mtoto km chakula, mavazi na malezi. Mwanamke akichepuka akapata mimba, atasingizia kuwa ni mimba ya mumewe (kosa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…