Sababu 12 kwanini usimsamehe mwanamke msaliti…

Msaliti hasamehewi
 
mm huwa nawashangaa wanaume wenzao wanaolilia wanawake na hakutak au kusalitiwa alaf unasema et kwa kigezo unampenda sana au umemsamehe kwasabab mnalea watoto daaah hii ni ngumu sana.

MWANAMKE MSALITI IWE MKE AU MPENZI SIO WA KUSAMEHE HUYO ATARUDIA TENA TENA KWA USIRI WA HALI YA JUU ZAID
 
Kumbe na hera zetu zinawauma?
 
Uko sahihi mkuu
 
Inategemea, Waweza kukuta unamcheat mkeo kiasi kwamba nafsi inakusuta hadi unatamani na yeye acheat kidogo ili mgawane dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…