Sababu 12 kwanini usimsamehe mwanamke msaliti…

Kwa mfano anakusaliti na haujui na ukauliza uliposikia kakukatalia na ukakosa uthibitisho kama kakusaliti by nature kakusaliti vipi nae afukuzwe huku huna uthibitisho??
Tulia tega mitego vizuri
 
1, 4, 5, 6, 8.

Hii inafanyaga wanaume wengi tunywe pombe sana ukifikiria tena ukute ulikua una mgaramia sana
 
Neno la Mungu limesema, usipowasamehe watu makosa yao, na Mungu hatakusamehe makosa yako. wala sio nadharia, Mungu pia ana sheria zake alizozisema ambazo huwa lazima azitimize. hii ndio maana Yesu alisema tusamehe saba x sabini.
Ukimsamehe malaya unapotea mwache Mungu awasamehe wewe hauna hiyo karama
 
Neno la Mungu limesema, usipowasamehe watu makosa yao, na Mungu hatakusamehe makosa yako. wala sio nadharia, Mungu pia ana sheria zake alizozisema ambazo huwa lazima azitimize. hii ndio maana Yesu alisema tusamehe saba x sabini.
Acha upuuzi kasome Mt 19 yote
 
Acha upuuzi kasome Mt 19 yote
hapakuwa na sababu yeyote kunitukana, Mungu akurehemu. MATHAYO 6:14 - 15 Inasema, Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi. bali msipowasamehe watu makosa yao wala Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu.

MARKO 11:25 - 26 INASEMA, Nanyi kila msimamapo na kusali, sameheni mkiwa na neno juu ya mtu; ili na Baba yenu aliye mbinguni awasamehe na ninyi makosa yenu. Lakini kama ninyi mahmamehi wala Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe ninyi makosa yenu.

Angalia namna watu wengi, hata kama wamekuwa wanatenda mema, watakavyoingia motoni kwa kushindwa kusamehe tu na kuachilia, kisasi ni cha Bwana wala si chetu, wewe samehe kwa upande wako, mpende adui yako na mwombee mema kwasababu hata wewe sio malaika, umewakosea wengi, ungekuwa hausamehewi wala usingekuwa bado unaishi. usiposamehe na Mungu hatakusamehe hivyo utaenda na dhambi zako.
 
Kumsamehe mwanamke msaliti kunahitaji ukomavu wa akili haswa na wanaume wengi hatuwezi, mimi naunga mkono hoja ukimsamehe mwanamke msaliti ujue umejifunga kwenye gereza la maumivu mpaka siku unayokufa ndo utakuwa huru hayo maumivu hayatakuacha hapo utaishi naye kinafiki tu lakini ule upendo na furaha ya ndani ya moyo juu yake haitakuwepo kabisa, hata awe ameomba msamaha na amebadilika lakini wewe bado utakuwa kwenye gereza la maumivu,
 
Kila ukitaka kuosha Lungu unakumbuka jamaa alivyoichakata.....Pumzi inakata.
 
Umesema vyema
 
Haitakiwi kabisa kumsamehe malaya, piga chini ubaki na amani ya moyo na akili
Uko sahihi amani ya moyo na afya ya akili vina umuhimu sana kwenye maisha tofauti na hapo utatoa msamaha lakini miaka mitano mbele ukipima afya utajikuta na magonjwa yote yasiyoambukiza kisukari,upungufu wa nguvu za kiume, presha n.k, msamehe mwanamke msaliti at your own risk, ila kama utaamua kumsamehe basi jitahidi kuondoa expectation zozote juu yake, ona upo na malaya, kama hamjafunga ndoa sogea tuishi sahau neno ndoa kati yenu twist mindset yako namna hii itakusaidia hata likitokea tena jua ni malaya amefanya tena ila kiujumla kumsamehe mwanamke msaliti ni hatari mno kwa afya akili.
 
Na wewe ukichepuke asikusamehe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…