Sababu 12 kwanini usimsamehe mwanamke msaliti…

Mimi namsamehe vizuri tu cha muhimu tucheki afya mizagamuo iendelee ,mambo ya kuvimba hasira kwa mtu mwenye ana maamuzi ya kumpa utamu wake nani, mimi sinaga hizo pigo .
Wee jamaa muongo Sana Sisi WANAUME kuvumilia usaliti ni maumivu makubwa Sana tunapata
 
Na kila mwenye pumzi ya kiume aseme Amen
 
Unaanzaje kumsamehe malaya asee eti kisa mna watoto?
Hata kama mna mtoto/watoto malaya sio wa kumsamehe

Mwanamke msaliti ukishamsamehe atakuona mjinga na kukudharau na ataendelea kukusaliti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…