Sababu 3 kwanini Dkt. Philip Mpango ndiye Rais ajaye

Sababu 3 kwanini Dkt. Philip Mpango ndiye Rais ajaye

CCM jikoni huwa wanapenda kumpa urais mtu anaecheza kwenye umri wa miaka 55 mpaka 65 hivi kwa hilo tayari Philip Mpango kashaenguliwa mapema sana

Hapo tuongelee akina Mwigulu ,Hammad Masauni,Tulia Ackson
 
Mosi aliugua corona, pili ni Bankster alipitia World Bank na tatu hakuwa Makamu wa Raisi kwa bahati mbaya.

Sasa anzeni kumjadili Mpango Phillip na muone jinsi mtakavyo ishi naye kwani ndiye Raisi ajaye, 2030 baada ya Samia, kila kitu kimepangwa na globalist ofcourse, …
Mmmh mshaanza tena
 
Rais ajaye ni Ridhiwani au January makamba
 
CCM wanaishi kwa mazoea sana muda tayari huu wanawaza watakavyogawana madaraka maana tume ya uchaguzi iko mikononi mwao.
 
Acheni ujinga. Kazi kutamka majina tu, kwanini wewe usiwe Rais zaidi ya kuwa chawa wa Mpango.
 
Back
Top Bottom