Sababu 3 kwanini Dkt. Philip Mpango ndiye Rais ajaye

CCM jikoni huwa wanapenda kumpa urais mtu anaecheza kwenye umri wa miaka 55 mpaka 65 hivi kwa hilo tayari Philip Mpango kashaenguliwa mapema sana

Hapo tuongelee akina Mwigulu ,Hammad Masauni,Tulia Ackson
 
Mmmh mshaanza tena
 
Rais ajaye ni Ridhiwani au January makamba
 
Kumbe tanzania ukiugua korona unakuwa na sifa za kuwa rahisi da nchi ngumu hii nyie
 
CCM wanaishi kwa mazoea sana muda tayari huu wanawaza watakavyogawana madaraka maana tume ya uchaguzi iko mikononi mwao.
 
Acheni ujinga. Kazi kutamka majina tu, kwanini wewe usiwe Rais zaidi ya kuwa chawa wa Mpango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…