Sababu 5 kwanini wanawake wanapenda kutingisha makalio

Sababu 5 kwanini wanawake wanapenda kutingisha makalio

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kwanza kutingisha makalio ni kitendo cha kuonyesha kipaji cha kucheza. Siku hizi ni rahisi kumuona hata mtoto wa miaka mitano akicheza kwa kukatika. Sababu zinazofanya dada zetu watutingishie makalio ni pamoja na.

1. Muonekano wa kimahaba
Anapokatika mwanamke humvutia mwanaume na kumsisimua na hasa akivaa kisidiria fulani Cha kimchongo mwanamke anajosikia kujiamini zaidi

2. Kuonyesha mwili wake
Wanawake wengine wamebarikiwa na sir God mashape amazing so namna ya kuonyesha kwa walimwengu baraka hizo ni ku twerk.

3. Peer pressure
Kwa Sasa asilimia 60 ya wasichana wanashawishika kutingisha makalio kwa sababu ya kuona wenzao ktk Instagram ama tiktok.

4. Kuonyesha kipaji tu Cha kucheza
Kuonyesha Jinsi kiuno kinavyozunguka Jinsi anavyojiamini kuumbika.

5. Umaarufu na pesa
Wengine hujirekodi wakicheza ili makampuni mbalimbali ya maswala ya modelling yamuone kutangaza bidhaa zao.
 
Wadada wauza nguo wooote ndio zao mjini anavaa kanguo kamebanaaaaa then matako yanatingiswha mwanzo mwenga leo kavaa bluu, kesho sijui kijani yaani full upupu, ndio creativity yao imeishia hapo
 
img_1_1661413936567.jpg
 
Back
Top Bottom