Sababu 5 kwanini wanawake wanapenda kutingisha makalio

Unazungumzia matako ya aina gani maana kila mwanamke ana tako sema size ngapi unzungumzia size upo
 
Mwigulu Tozo Effect
 
Ni nyege tu hakuna lingine
Nilikuaga najitingisha enzi hizo usistaduu hapo sijui ndo vitoto vya baobab, alpha, neema trust, green acres etc. Na tukikutana tuition CILOS TUITION CENTER
Ndo kabisaaaa.. mara cut walks. Ni utoto tuu. Sasa hivi ni mwendo wa kirombo tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]
 
Sasa kama yangu yanatingishika yenyewe ntatoa maoni gani mkuu?.
Aise...bahati mbaya wee mpenzi wa simba ungekuwa wa yanga alafu uteteme kama mayele sii ungekuwa unaachia bonge la vibration🤣🤣🤣🤣
 
Bwana we kama unalo linatikisika lenyewe tuu tena orijinoo laini sio yale ya kuwekwa sindano sijui kuvaa godoro lazima ulisukumize liende ila kama ni pasi unalifosi hahah sasa mpk mtu ushindwe kutembea kisa unaogopa kutikisika.
 
Aise...bahati mbaya wee mpenzi wa simba ungekuwa wa yanga alafu uteteme kama mayele sii ungekuwa unaachia bonge la vibration🤣🤣🤣🤣
Mimi na uto wapi na wapi mkuu haha sisi ni mwendo wa kuyakalia huku tuna nyunyizaaa
 
So Huwa baadhi yenu mnafanya makusudi !??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…