youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,811
- 3,888
usajili jina la biashara ni hatua muhimu kwa mtu anayepanga kuanzisha au kukuza biashara yake. Hizi ni faida zake:
1. Hulinda jina la biashara yako Jina likisajiliwa, linakuwa salama na linapunguza uwezekano wa kutumiwa na mtu mwingine.
2. Huongeza uaminifu kwa wateja Wateja huamini zaidi biashara yenye jina linalotambulika kisheria.
3. Hurahisisha kupata leseni ya biashara Usajili wa jina ni moja ya hatua muhimu katika kukamilisha taratibu za kuendesha biashara.
4. Husaidia kufungua akaunti ya benki ya biashara Unaweza kutenganisha fedha za biashara na fedha zako binafsi.
5. Hufungua fursa za kukua Biashara iliyosajiliwa huwa na nafasi nzuri ya kupata mikopo, zabuni, mikataba na kushirikiana na kampuni nyingine.
WhatsApp: +255 693 880 325
Victoria Agency, Turning Clicks Into Clients

Sajili Jina la Biashara Yako Leo
Usisubiri jina unalotaka lichukuliwe na mtu mwingine. Victoria Agency tunakusaidia kusajili jina la biashara, kampuni, TIN, leseni ya biashara na huduma za BRELA, TRA pamoja na TAUSI.WhatsApp: +255 693 880 325