Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Itakua vzr sana,taarifa nyingi zinaonesha hv95% ni kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua vzr sana,taarifa nyingi zinaonesha hv95% ni kweli
Wakala wa ngoma,lilepo na kisinda ni m1,hapo hakuna ugumu kwa Yanga japo kisinda mwisho msimu kuna uwezekano akarudishwa berkaneItakua vzr sana,taarifa nyingi zinaonesha hv
Nyinyi si mnamsubiri yule "Scout" wenu Mzungu, ili aje na mpango mkakati wa kusajili wachezaji kutoka pande zote za dunia! Halafu msimu wa ligi ukianza, mnaanza kulialia tena na wachezaji wenu wa kuokoteza.Nyie endeleeni kuhangaika na wagogo si tunawangalia tu
Mimi nikiulizwa nitamtaja KINZUMBI wa TP MAZEMBE. Huyu Lilepo tofauti yake na Kisinda ni ndogo sana.Makabi Lilepo ni mchezaji mwenye uwezo na sifa nyingi ambazo zinamfanya aweze kufaa sana katika mfumo wa klabu ya Yanga SC. Hapa chini ni sababu anini Makabi Lilepo ni mchezaji mwenye kufaa zaidi katika mfumo wa klabu ya Yanga SC:
Kasi na nguvu: Makabi Lilepo ni mchezaji mwenye kasi na nguvu ya hali ya juu. Hii ingewezesha klabu ya Yanga SC kufanya mashambulizi ya haraka na kushambulia kwa nguvu zaidi.
Ujuzi wa kucheza kwa miguu yote: Lilepo ni mchezaji anayeweza kucheza kwa miguu yote. Ana uwezo wa kucheza vizuri kwa mguu wa kushoto na wa kulia, hivyo angeongeza chaguo lingine la kushambulia kwa upande wowote wa uwanja.
Uzowefu wa kimataifa: Lilepo amecheza kwenye timu ya taifa ya DRC, ambayo imempa uzoefu wa kucheza katika viwango vya juu. Uzoefu huu ungekuwa muhimu katika kuiongoza klabu ya Yanga SC kwenye michuano ya kimataifa.
Uwezo wa kucheza nafasi mbalimbali: Lilepo anaweza kucheza kama beki wa kushoto au kiungo wa pembeni. Uwezo huu wa kucheza nafasi mbalimbali ungeongeza chaguo kwa kocha na kumuwezesha kubadilisha mfumo wa timu kwa urahisi.
Ubunifu na uwezo wa kutengeneza nafasi: Lilepo ana uwezo wa kuwa mbunifu na kutengeneza nafasi za kufunga. Kwa klabu ya Yanga SC, ambayo inahitaji wachezaji wenye uwezo wa kubadili matokeo, Lilepo angekuwa mchezaji muhimu katika kufunga magoli.
Upigaji mipira ya adhabu na mipira ya kona: Lilepo ni mtaalamu katika upigaji wa mipira ya adhabu na mipira ya kona. Hii ingewezesha klabu ya Yanga SC kufaidika na mipira iliyopigwa kwa ustadi katika eneo la hatari.
Ulinzi imara: Lilepo ni mchezaji mwenye uwezo wa kujilinda vizuri na kuzuia mashambulizi ya wapinzani. Hii ingeongeza nguvu na usalama katika ulinzi wa klabu ya Yanga SC.
Uongozi na uwezo wa kujenga timu: Lilepo ana uwezo wa kuwa kiongozi ndani ya uwanja na nje ya uwanja. Uzoefu wake na uongozi ungekuwa muhimu katika kusaidia klabu ya Yanga SC kujenga timu yenye
Kuondoka kwa Tuisila Kisinda mwishoni mwa msimu huu ni sababu tosha ya Yanga SC kuhakikisha wanamtumia wakala huyo huyo wa Kisinda ambaye pia ni wakala wa Makabi Lilepo.
Wakala huyo ndio anayetegemewa zaidi kufanikisha deal hilo.
Mazungumzo rasmi yataendelea baada ya tarehe 12.
View attachment 2647682
Mayele alitwaa taji KUBWA zaidi kushinda KIATU.Maneno hayo ndio unayesema leo? Hiyo local nyuz ndio ilimliza mayele kwajoji mpole last season.
Mpole hakuna mchezaji kabisa pale.Yanga imsajili George Mpole bei yake sio kubwa ila bado atatupa 3/4 ambayo Lilepo angetoa
Sasa mbna kwenye CAFCC mnajivunia kuwa top scorer, akati kombe lenyewee mmekosaaa??Mayele alitwaa taji KUBWA zaidi kushinda KIATU.
Taji hilo ni NBP PL.
Sasa sijui wewe mmakonde mwenzangu ungechagua kiatu au taji la ligikuu.
Huyo skauti mzungu hana sauti kwa wazee wapasu aka kamati ya usajili, waache kupiga 10% yao wamsikilize skauti.Nyinyi si mnamsubiri yule "Scout" wenu Mzungu, ili aje na mpango mkakati wa kusajili wachezaji kutoka pande zote za dunia! Halafu msimu wa ligi ukianza, mnaanza kulialia tena na wachezaji wenu wa kuokoteza.
Akipata game time na kucheza mbele ya viungo wazuri aisee atatupa goli za kutoshaMpole hakuna mchezaji kabisa pale.
Ana kiatu cha Africa, hiki cha ligi ni kama yebo tu.Fiston huyuhuyu anaenyang'anywa kiatu na saidoo licha ya kucheza mechi nyingi?
sio kanji tatizi mangungu ja try again,ni majizi.Kanji bahili mno.
Kwanza asumbue bongo kombe liendelee kubaki jangwani,then CAFCL ikifeli tunadondokea CAFCCL Hadi finali haina kufeliMchezaji wa kawaida ila kibongobongo anaweza kusumbua.
Hebu kioneshee hiko kiatuu?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ana kiatu cha Africa, hiki cha ligi ni kama yebo tu.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], njoo ukione.Hebu kioneshee hiko kiatuu?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fainali nyingine mtaiona baada ya miaka 30Kwanza asumbue bongo kombe liendelee kubaki jangwani,then CAFCL ikifeli tunadondokea CAFCCL Hadi finali haina kufeli
Ngoma nimejibu,Al hilal alishakubaliana nao kuachana na wakamkubaliana,zaidi tusubiri,ingawa ,telesis nasikia ni YangaFabrice Ngoma je?