Sababu 8 Zilizopelekea Yanga SC Kupeleka Ofa Kumuhitaji Makabi Lilepo

Nyie endeleeni kuhangaika na wagogo si tunawangalia tu
Nyinyi si mnamsubiri yule "Scout" wenu Mzungu, ili aje na mpango mkakati wa kusajili wachezaji kutoka pande zote za dunia! Halafu msimu wa ligi ukianza, mnaanza kulialia tena na wachezaji wenu wa kuokoteza.
 
Mimi nikiulizwa nitamtaja KINZUMBI wa TP MAZEMBE. Huyu Lilepo tofauti yake na Kisinda ni ndogo sana.
 
Maneno hayo ndio unayesema leo? Hiyo local nyuz ndio ilimliza mayele kwajoji mpole last season.
Mayele alitwaa taji KUBWA zaidi kushinda KIATU.

Taji hilo ni NBP PL.

Sasa sijui wewe mmakonde mwenzangu ungechagua kiatu au taji la ligikuu.
 
Mayele alitwaa taji KUBWA zaidi kushinda KIATU.

Taji hilo ni NBP PL.

Sasa sijui wewe mmakonde mwenzangu ungechagua kiatu au taji la ligikuu.
Sasa mbna kwenye CAFCC mnajivunia kuwa top scorer, akati kombe lenyewee mmekosaaa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnachekeshaaa.
 
Nyinyi si mnamsubiri yule "Scout" wenu Mzungu, ili aje na mpango mkakati wa kusajili wachezaji kutoka pande zote za dunia! Halafu msimu wa ligi ukianza, mnaanza kulialia tena na wachezaji wenu wa kuokoteza.
Huyo skauti mzungu hana sauti kwa wazee wapasu aka kamati ya usajili, waache kupiga 10% yao wamsikilize skauti.
 
Kwanza asumbue bongo kombe liendelee kubaki jangwani,then CAFCL ikifeli tunadondokea CAFCCL Hadi finali haina kufeli
Fainali nyingine mtaiona baada ya miaka 30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…