The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Poleni na majukumu !
Wakuu nimeona ndugu tujadili hili ili tupate uelewa wa pamoja .Kuna dogo alikuwa bodaboda jirani na baa ya mtaani napoishi mimi kidogo nakakipato ka wastani nani broo sana kwa hawa bodaboda kwa maana age yao wengi 18 hadi 30 mimi niko mid forty ,sasa mimi nimejaaliwa ile hali ya kupenda kusikiliza changamoto za madogo sana nikiamini wanamengi ya kuongea.
Basi na ile tabia nikiwakuta kijiweni naweza wapa wote kama 14 hadi 20 soda ,au kama niko poa nikawaambia kanyweni chai mihogo nikawapa 10 kijanja. Wote huwa ni rafiki zangu na huniomba sana ushauri na nimekuwa nikiwakemea sana mambo ya ulevi muda wa kazi,bangi na ukora.
hivyo kuna heshima nimejijengea hadi kuna jamaa waliwahi nifata wakijua nataka gombea uenyekiti mtaa na huko sio mambo yangu kabisa hata kujiandikisha tu sijaenda chama pekee nipo ni Yanga .
Sasa kuna dogo mmoja nampa jina John ,alikuwa wa tofauti sana wengine huwa wakipiga stori na mimi wanaomba hela au pombe yeye alikuwa anakuja anaomba ushauri wa biashara na haombi kitu ,pia nilimshauri pombe akaja niambia ameamua atakuwa analewa jumamosi tu na hagusi boda .
Sasa hapa kati nkapata katenda mkoani nikapotea muda sana ,kurudi nikakuta wenzie wanamsema sana kuwa ametoboa sasa hivi haji kijiweni na washikaji wakimuomba msaada anawapiga chini pia kabadili kampani .
Hii nikasema ngoja nishare mawazo na washikaji zangu JamiiForums ,
MAONI YANGU NI HAYA :
Mafanikio huwa ni jambo la mmoja mmoja kama punyeto kila unaemuona duniani 90% wanatafuta utajiri ila wataotoboa ni only 5% na huwa ni siri yaani hata baba yako mzazi huwa hawezi kuambia siri yake nini .
Lazima mjifunze kujua kuwa kuwahi kuishi na mtu maisha ya chini pamoja hakuhalalishi yeye kuwa akusaidie watu mpaka atoboe anaishi kimaskini na watu si chini ya 2000 sasa hata akiwagawia laki laki anabaki maskini tena ,so kuna uhusiano mkubwa wa mafanikio na ubinafsi.
Pili lazima ujue kila mtu ana malengo katika sababu kwa nini anataka kuwa tajiri na nakuchallange ww unaesoma hapa uliza your best friend kwa nini anataka kuwa tajiri nakuapia 100% kukusaidia wewe huwa haipo hata top 20,tunaposaidiana hatusaidiani ili tulipane fadhila kama ni hivo basi duniani hakungekuwa na tajiri
Kama unataka ubaki na urafiki na marafiki zako wenye mafanikio jifunze kuwa wewe sio mtoto wao hawawajibiki kukusaidia lolote niamini mimi utajawa nao na utafaidi sio tu hela bali big connection.
Mimi na very close friend alijiingiza mambo ya kwenda china saivi ni billionaire anaendesha LC 300 CRUISER ya 2023,Watu wengi humsema anaringa na 80% ya washkaji tuliokuwa nae haongei nao ,ila mm huwa ananifata mpaka baa za vichochoroni kupiga stori tu na masaki kaniita sana ,sababu ya kwa nini nimem maintain ili nawe ujifunze
1.Yeye sio baba yangu hapaswi nilea hivo simuombagi hela,adui mkubwa wa tajiri ni kuombwa hela
2.Mimi humletea mawazo ya jinsi gani atatajirika Zaidi na mm humtoza udalali,mfano kuna nyumba ilikuwa inauzwa mil 100 eneo kali ni demu Malaya alihongwa na baba mtoto ,nikamfata mwana nikamuunganisha nkamwambia ila mm utanipa mil 10 yangu ,akaenda kupaona kesho yake kalipa cash .
3.Sikubali kukutana naye kama sina hata hela ya kumpa bia 3 hadi 10,na mara moja moja huwa namwita mahali namwambia kaka leo mm ndo bosi bili yangu
4.Sikubali kuwa kuwadi (ni stage ya kwanza ya ushoga)
5.Sipigi simu mchana labda niwe na la maana sana na huwa naongea kwa summary
Huyu sio mmoja kifupi hakuna rafiki yangu tajiri ambae amewahi nikacha sababu nimejiweka kwenye nafasi yangu kuwa rafiki sio mtoto wao wa kumzaa,rafiki hana jukumu lala kukupa mtaji popote duniani .
Napenda nijifunze toka kwenu pia ,poleni kwa uandishi mbovu