OCC Doctors
Senior Member
- Jul 20, 2018
- 113
- 172
No Fap Challenge ndio suluhisho usimwage manii siku 365Sawa! Tunaomba suruhisho Dr!
Mwaka mzima Mzee wangu? Kwa upwiru huuuu?No Fap Challenge ndio suluhisho usimwage manii siku 365
Na miezi mitatu mpaka saiv sijagusa mbususu na mpango hadi December nisiguseNo Fap Challenge ndio suluhisho usimwage manii siku 365
Mwaka mzima ni kupiga tizi na kula chakula vizuri na kufanya ibada nzuri, CHINI hapo unapasahau kabisa kabisa fanya km hapapo tena ndani ya mwaka mzimaMwaka mzima Mzee wangu? Kwa upwiru huuuu?
Ipo vzr, hii nitaifanyia kaziMwaka mzima ni kupiga tizi na kula chakula vizuri na kufanya ibada nzuri, CHINI hapo unapasahau kabisa kabisa fanya km hapapo tena ndani ya mwaka mzima
Utese mwili wako na mazoezi ya kuchosha mwili hutopatwa na ashki ya NGONO
Mnakoment kwenye shamba la msusa ili mtengeneze mlenda..sis wenye vibamia tunacomment wap!
Punguza kula vya kukaanga, kula sana mbegu.... Karanga, maboga nk. Fanya mazoezi kuwa active.tunaomba suluhisho
Ivi miezi mitano haifai?No Fap Challenge ndio suluhisho usimwage manii siku 365
Siku 365 maana yake ni miezi 12Ivi miezi mitano haifai?
Siku 365 maana yake ni miezi 12
No Fap Challenge meaning:-
No masterbation
No sex
No watching pornography
No watching naked women's
No touching your private parts
No wet dreams
365 day's!