Mlupembe
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 445
- 214
Mimi nakumbuka mpenzi wangu ambaye nilimpenda sanaa..nilijua ndo tutafunga ping za maisha..siku nikawa nimepanga nisafiri kesho yake asubuhi sana , nikaenda kwao kumuaga,..bahati mbaya asubuhi ile nikachelewa basi ,nikaamua kwenda church..nilipotoka nikapitia kwa jamaa yangu tuliyekuwa tutafanya nae biashara.. Kwakuwa nilipazoea Kama kwangu nikaingia bila hodi.. Tobaaa. .! Nitakuta jamaa tupo huu ya Demu wangu.. Dah ikawa mwisho wa mpenzi yetu.. Na mwisho wa kufanya biashara na yule jamaa...japo waliniomba radhi mnoo nilikataa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app